Picha ya Mwakyembe?

noma

Member
Apr 11, 2011
49
8
Leo Mh. Harrison Mwakyembe amehudhuria bunge. Kuna yeyote aliyefanikiwa kupata picha yake?
 
umesikia kuna picha zake toleo jipya tofauti na picha tulizoziona hivi karibuni hadi umeamua kuzitafuta?

unazisaka kama vile kuna jipya
 
Mwakyembe maskini anavyofanana utadhani amefanya plastic surgery!utamjua kwa sauti tu cio sura
 
Back
Top Bottom