Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Apr 8, 2012.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Wasalaam Aleykum JF!

  - Well, we have been running a brutal campaign aspiring to be elected to the EAC assembly, the highest Legislative body among the five Nation's members that includes Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, and Burundi. I believe the times requires now that I stand up and make my case to you the people of who I am and what are my intentions given the opportunity to represent our Nation, next week in Dodoma!

  - I do not intend to fake my way through this, but just want to make my case very clear while representing the real me, William if you know what I mean!, SO HELP ME GOD!

  MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKIE JF KUMKOMA NYAN!

  William.
   
 2. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Go William GO.....
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Kila la heri kaka.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  So what is your case, sir?
   
 5. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  so what?
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Best wishes

  Ila kuondoa gongano la lugha andika lugha unayoiweza zaidi
   
 7. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  What is this
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu unapeleka agenda gani ambayo utaisimamia kwa uwezo wako wote?
   
 9. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,238
  Likes Received: 931
  Trophy Points: 280
  And the case is...........! Why keeping us arms akimbo?
   
 10. M

  Mkulima mimi JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 233
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  to be a representative on EAC legislation which is the highest legislative in all EA countries. If i read the man correctly
   
 11. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  !!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????????????
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Lugha gongana hapa.
   
 13. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  mashikolomageni
   
 14. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Mbombo ngafu
   
 15. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu komaa na mchakato mwanzo-mwisho, linda kura kama chadema BUT usije kutugeuka!
   
 16. RabidDog

  RabidDog Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 25
  :disapointed:Comrade Willy, yaani tuseme hapo umesha tueleza kwanini unagombea EAC assembly? Man, you need to do more than that! It will make more sense if you tell us why you, why today and so what? Tulishakuuliza maswali hapa na ukujibu hadi leo, sasa usije shangaa ukikutana ya hayo maswali uko mbele! Wengine tunakusubiri mjengoni!
   
 17. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hizi kura zingekuwa zinapigwa na wananchi usingepita unaroho mbaya sana wewe halafu hupendwi kukosolewa kumbuka mimi ulinbrock facebook baada ya kukuambia acha kuuza sura kama wanamuziki wa bongo fleva kila saa unaupload picha upo na watu mashuhuri unajishushia heshima
   
 18. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #18
  Apr 8, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Mkuu inatakiwa mumuangalie sana YOWER MSEVEN MAKE NASIKIA NDO ANAWEKA MSUKUMO WA SHIRIKISHO MAPEMA ILI AWE RAISI WA KWANZA WA EA,

  NA MSIFIKE KULE MKEANDA KUANGALIA MATUMBO YENU NA KUANGALIA NI JINSI GANI MTANUFAIKA INDIVIDUALY NA EA NA KUWAACHA WATANZANI WENGI.

  - MAKE VIONGOZI WENGI WA EA WAO WANAANGALIA WATANUFAIKA VIPI WAO KAMA WAO NA HUO MUUNGANO NA SI TAIFA LITANUFAIKA VIPI NA HII IKO KWA WATANZANIA SANA, WAKIFANYA KIKAO CHA EA COMMUNITY NCHINI UGANDA WAO WANAENDA KUULIZIA SHULE ZA KUSOMA WATOTO WAO NA ISHU ZA KUFANYA BIASHARA HUKO NA HAWAENDI KULITETEA TAIFA

  MKUU NA HII NI KWA VIONGOZI WENGI SANA WAKIENDA KWENYE MAKONGAMANO HUKO ULAYA ASI NA MALEKANI WAO MAWAOZ YAO YAKO KWENYE KWENYE KUFAIDIKA IKIWEMO KUWANUNULIA NDUGU ZAO ZAWADI NA KUWATAFUTIA FULUSA HUKO ULAYA, NDO MAANA WAKIRUDI AR PORT WANAKUWA NA MABEGI MAKUBWA SANA

  - Kuna mtu mmoja aliwahi kuniambia yeye aliambiwa na rafiki yake wa kizungu kwamba Kuna Mtanzania alienda kwenye Kongamano huko Canada, yeye wakati wa kongamano alikuwa Bise kuchuka namba za simu na emai, adress za wahudhuriaji wengine na alikuwa nachukua zile za wazungu tu ingawa walikuwepo na waafrica kutoka nchi zingine za Africa

  SO MKUU NA NYIE MSIENDE KUANGALIA FULUSA ZENU TU HUKO
   
 19. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  sasa mbona sioni kilichokusukuma kugombea??....
   
 20. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #20
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  My profile:
  1. Born in Tukuyu.
  2. Jamhuri Primary School, Mnazi Mmoja; DSM.
  3. Kwiro Secondary School, Mahenge; Morogoro.
  4. Kidatu Sugar Instituon, Kilombero; Morogoro.
  5. DSM Marine Engineering School (DMTU), DSM.
  6. Field Kagera Sugar Factory, Kyaka; Bukoba.
  7. Field Mv. Bukoba, Mwanza; Mv. Mwongozo & Liemba; Kigoma.
  8. JKT Oljoro/Makuyuni, Camps; Arusha.
  9. CMB Marine Engineering Insistute; Antwerpen, Belgium.
  10. Field CMB-Belgian Shipping Line ( as Assistant Engineer)
  11. Worked Tanzania/Chinese Shipping Company; DSM/Hongkong.
  12. Associate Degree in Criminology & Police Science; Westchester College in New York, USA.
  13. BA in Political science, Lehman University at New York City, USA.
  14. One year Internship at Dominican Republic Permanent Representative to the UN, General Assembly; New York; USA.
  15. Worked at Sterycircle Inc, as Class A Haz Mat & Poison at Disposal Facilities. Dealing with (Transportation + Financial Covering the Incinerator)
  16. Started CCM branch in New York City, USA.

  - Now aspiring to represent our Nation, to the EAC Assembly.


  William.
   
Loading...