Leo ni miaka 28 toka kifo cha Sokoine bado tunakukumbuka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ni miaka 28 toka kifo cha Sokoine bado tunakukumbuka!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchochezi, Apr 12, 2012.

 1. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  Leo ni Kumbukumbu ya kifo cha Mpendwa wetu Waziri Mkuu Edward Sokoine kilichotokea Dumila mkoani Morogoro kwa ajali ya utata ya Gari. Je kizazi cha leo kinamuenzi vipi shujaa huyu? Na ukweli wa kifo chake haujajulikana tu?
   
Loading...