DC watateuliwa lini jamani? Wilaya yetu haina dira RC mgeni, MKOA MPYA,WILAYA MPYA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DC watateuliwa lini jamani? Wilaya yetu haina dira RC mgeni, MKOA MPYA,WILAYA MPYA!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by juu kwa juu, Apr 11, 2012.

 1. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  maendeleo na mihangaiko ya maisha imevurugwa na hiyo mikoa na wilaya mpya. Kwetu hatuna dc na mkoa we tu mpya, wilaya mpya. Mwenye kujua ni lini hawa watu watateuliwa atupe au tiss mmoja atupe hiyo.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Umeathirika vipi kwa kukosekana kwa DC?!!!!! MaDC ni kupe wanaolinyonya taifa letu bila kufanya kazi. Ni makada wa CCM wanaoenda kueneza sera za kimagamba huko wilayani halafu wewe unawalilia. Hebu nitajie mifano ya kazi zilizofanywa na maDC waliopita huko kwenu. Shame on you.
   
 3. k

  kubenafrank Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is nonsense to think of the dcs or the rcs. Right now is the time for tanzania's liberation from the magambaz
   
 4. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  mbona sisi watu wa masasi hatulalamiki DC wetu anazulula tu kwa kazi za CCM..
   
 5. Eddy M

  Eddy M Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Ma-dc wa nini wewe? kada wa ccm nini
   
 6. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Wewe ni DC unataka maoni ya wana jf kabla ya maoni ya katiba mpya!jibu lako ni kuwa mwisho wenu ni 2015,usijambe mkuu!
   
 7. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unazungumzia hawa watu....? Watu tunasubiri tume ya katiba mpya iapishwe tutoe maoni yetu ya kuwaondoa kabisa katika mfumo wa serikal, nafac za kupeana kshkaj hafu watu watafune kodi zetu, hazitakiwi katiba ijayo...!
   
 8. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nilikuwa nauliza tu wakuu. Tupo pamoja sana. Katiba mpya itajibu hayo yote. Hata hivyo kwa sasa tunawahitaji.
   
 9. cooper

  cooper JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 394
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Sijui unaathirika vipi kwanni wilaya ya Kilolo hakuna DC tangu 2010, na mambo yanaenda tu sijaona tofauti yoyote ya kuwepo au kutokuwepo kwa DC. Nadhani MaDED na Ma RAS wanatosha hakuna haja na vyeo kama Ma DC na Ma RC kwenye katiba ijayo.
   
 10. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Njombe iyo au?
   
 11. K

  Kitorondo Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  MA DC watateuliwa wiki ijayo mkuu,achana na wanaosema hawana umuhimu,yapo mengi yamefanywa mazuri na madc,naweza kuyataja mkiyahitaji,acheni kuzibeza hizi nafasi nyie watu wa chadema
   
 12. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unahitaji kada wa ccm akusaidie nini kwani huna mbunge? Hizi habari za Ma DC tunataka kuzifuta kwenye katba mpya wewe unawaulizia? Wangekuwa wa muhimu kiasi unachosema wasingeacha kumleta huko kwenu, ndo maana huwezi kosa mbunge kwa siku tisini lazima kuwe na uchaguzi, lakini dc? Nosense!
   
 13. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,791
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Unawahitaji ili wakufanyie nini cha muhimu ktk mustakabali wa ,aendeleo yako zaidi kugombana na DED kuhusu nani apewe mradi wa barabara?:focus:
   
 14. K

  Kambilombilo Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi, msimamizi wa shughuli za maendeleo wilaya, kiuongo kati ya s/kali za mtaa na serikali kuu!!! jamani hili nalo linataka tutumie kodi za wananchi tukuweke darasani usome!!!! kuwa mkweli...
   
 15. N

  NYAMKANG'ILI JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  WASITEULIWE, HAWANA KAZI ZAIDI YA KUZUIA MIKUTANO YA WANACDM, WANANCHI. LABDA KAMA ULIMAANISHA WAKURUGENZI HAO NI MUHIMU WATEULIWE. MA-RC na MA-DC hawana kitu. WATU WANAFIKIRIN HAWA WANAMAMLAKA, HAWANA. NDIYO MAANA WAKIKAA WANASEMA 'MIMI NDIYE RAIS WA MKOA/WILAYA, NAWAKILISHA RAIS'. HAKUNA KITU KAMA HICHO KISHERIA, KWAMBA UKITEULIWA NA RAIS NAWE UNAKUWA RAIS. HAKUNA, INGEKUWA HIVYO TANZANIA INGEKUWA NA MARAIS WASIO IDADI. KUPELEKA TATIZO LAKO KWA RC AU DC, KUPOTEZA MUDA, KWA MKURUGENZI SAWA, LAKINI HAO MMMMMMMMMMMMMMMM.MATATIZO YA WANANCHI YOTE, NI MKURUGENZI ANAHUSIKA. WANASEMA ETI RC NA DC NI MWENYEKITI WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA (KUU). SAWA. LAKINI HIYO KUU INAFANYA NINI, HAKUNA: DC/RC HAWEZI KUMUAMRISHA RPC/OCD, KAMANDA WA PCCB KUFANYA LOLOTE; SHERIA ZINAKATAZA. KWA HIYO UMWENYEKITI WAKE WA KUU, NI WA KUFIKIRIKA. HAKUNA KITU. HIVYO NAKUSHAURI, UMUOMBE JK ATEUE WAKURUGENZI MAANA HAWA NDIYO WANAOSHUGHULIKA NA AFYA YAKO, ELIMU YA MWANAO, ARDHI, BARA2, LESENI YAKO YA BIASHARA NA MAISHA YAKO KWA UJUMLA; LAKINI RC/DC PUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!

 16. N

  NYAMKANG'ILI JF-Expert Member

  #16

 17. K

  Kitorondo Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Acheni wivu wa kijinga ma rc na ma dc ni muhimu kamwe hawawezi kufutwa.dc wa bagamoyo alifichua ubadhirifu uliofanywa na ded na maofisa wake na kukamatwa wakatimuliwa.sasa hivi ndiye rc ars,nafikiri unaona kazi anayoifanya arusha?ma dc wa zamani wa kilombero na ulanga walilifanya hilo eneo kama ghala la uzalishaji wa chakula(famogata) ambapo limekuwa sehemu nyeti katika uzalishaji wa mpunga na mahindi.hivi sasa wote wamekuwa ma rc wa mikoa ya mwanza na katavi.mmoja alihamishiwa wilaya ya mpanda kabla ya kuwa rc ambapo alilitangaza eneo hilo kama eneo maalumu la ukanda wa uwekezaji wa ziwa tanganyika na kufanyika mkutano mkubwa wa wawekezaji
   
 18. U

  UUNTWA Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mdau Nape sio DC tena.Alishautema mara baada ya kupewa uenezi wa chama.Kwa hiyo Masasi moja ya wilaya zisizokuwa na huyo gavana.
   
 19. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Katiba mpya ni kutema wote hao ,kazi zisizo na job description na appraisal.Washikaji ndio wanatafuttwa kwanza maana si unajua hawa ndio wapambe kwenye kamati za siasa za wilaya kupitisha wabunge na magamba yalivyozagaa wanatafutwa wasio wapambe wa ENL, si unajua wengi waliopo wana mkono wake.Pia Serikalia choka mbaya ,Madc wanataka magari ,mafuta na nyumba sasa ni gunia la misumari kichwan.
   
 20. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #20

Loading...