Nyerere alithubutu kwa vijana! Mbona Kikwete ameshindwa kuthubutu?

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Nilishangaa sana nilipokuwa nasoma kitabu cha Mzee Edwin Mtei, Alizaliwa mwaka 1932 and mwaka 1965 alikuwa Governer wa Tanzania akiwa na umri wa miaka 33 tu ? Swali langu ni hili katika serikali ya Rais Kikwete ambayo tunamwita ni kijana ingawa ana miaka 62 ni kijana gani kapewa Madaraka? na ni kwanini viongizi wa siku hizi hawatuamini sisi vijana? na nini tufanye ili uongozi urudi kwa vijana?
 
Back
Top Bottom