Tunamuenzi vipi hayati SOKOINE! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunamuenzi vipi hayati SOKOINE!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwakambonja, Apr 12, 2012.

 1. m

  mwakambonja New Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni wakati wa kumuenzi jabali wa sera za ujamaa na kujitegemea na aliyekua mstali wa mbele kupambana na mafisadi wa jana(mafisadi wa sasa) wakati wa chama kushika hatamu! wazee wa magamba! Ebu tujaribu basi kujifunza kupitia kwa huyu jamaa! che wa bongo! salamu zangu kwa wazee wa nguvu ya umma! tusitumie udhaifu wa chama tawala kwa sasa ili kuingia kwenye mfumo(systime) na kujichumia mali za umma! Natamani kama angefufuka kwa sasa na ajinee TZ ya leo! pamojah!
   
Loading...