Msekwa iache ncaa ifanye kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msekwa iache ncaa ifanye kazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nduka Original, Apr 12, 2012.

 1. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakati unalalamika kuhusu umasikini wa nchi hii usisahau kumhusisha moja kwa moja huyu mzee Msekwa.Kumbuka tu alipata kuwa speaker wa Bunge letu ambalo linatunga sheria hivyo kila aina mswada mbovu uliopita yeye ndiye mdau mkuu. Huyu mzee sasa hivi ndiye Mwenyekiti wa bodi ya NCA - Ngorongoro Conservation Area. Ameshafanya mambo mabaya mengi sana pale na kilio kikubwa cha wafanyakazi ni kwamba huyu mzee hashibi hela. Hebu angalia hizi facts hapa chini.

  1. Amewapa Bansal Transport site pale Allen Roots na sasa wameweka seasonal camp ila imekuwa si seasonal kwani wako hapo kwa miaka miwili sasa. Ule ni uharibifu wa mazingira

  2. Aligawa site kinyume cha utaratibu kwa KIBO PALACE HOTEL, KEMPINSKI, NEW ARUSHA HOTEL

  3. Aliipa kampuni ya Nyanza Construction tender ya kujenga barabara wakati haina uwezo na inasemekana ana interest kwenye hiyo kampuni

  4. Hivi punde alitaka kuwabadilishia site kampuni ya Well Wealth. Hii kampuni ni ya mhindi ambaye ndie mmiliki wa kunduchi beach na Embassy Hotel. Alipewa site na NCA ila kwasababu zake binafsi anataka ajenge anapotaka yeye. Management ya NCA imeingia kwenye mgogoro na huyu mhindi na hatimaye Msekwa ameingilia kati na last week alikwenda yeye mwenyewe na Mhindi mpaka kwenye ile site na kutoa amri kwamba wasikilize mwekezaji anavyotaka.

  5. Huyu mzee anachukuaga allowance za safari za nje na haendi

  Kwakweli ni mzee mbinafsi sana, roho mbaya na si mzalendo kabisa. Binafsi namchukia sana nasema kwanini Mungu ham RIP?

  Sasa hivi NCA wametangaza sites na ni kampuni kama nne hivi zimeomba ila kwenye mchakato wa kuzigawa hili zee lazima litazitoa kwa watu wengine.

  Ee baba Mungu tuondelee watu hawa kwani wameshatunyonya vya kutosha.
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ni kweli huyu mzee ni tatizo kubwa ni bora wangempumzisha tu
   
Loading...