Daniel Ole Njolay kugombea ubunge Arusha mjini

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
kuna tetesi kuwa ccm inamuandaa aliyewahi kuwa R.C wa arusha ndg Daniel Ole Njolay kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa arusha mjini iwapo chadema watashindwa rufaa yao.
 
Huyu RC si ndiyo katemwa na JK kama bigijii iliyoisha utamu?!! Akigombea ubunge Arusha ataambulia aibu ambayo hatoisahau kamwe maishani mwake. CCM Arusha ni sawa na mzoga wa bundi.
 
hahahaa atafanyiwa kampeni na masaburi au lusinde?? hata hatutishiki
 
bado sijajua yuko kundi gani.
Inawezekana ikawa ni option ya lowassa.
Au inawezekana ikawa ni option ya jk akitaka kumuondolea machungu.
 
Njolaay yupi mnamzungumzia? Ni huyu mwenye kesi ya kuuza viwanja mara mbili?
Hahaaaaaaaaaaaaa asante magamba kwa kurahisisha M4C through the ballot box!

After all kusema ukweli hakuna uchaguzi Arusha!
 
bado sijajua yuko kundi gani.
Inawezekana ikawa ni option ya lowassa.
Au inawezekana ikawa ni option ya jk akitaka kumuondolea machungu.

atakuwa anamwongezea machungu maana atashindwa vibaaaaya.
 
kuna tetesi kuwa ccm inamuandaa aliyewahi kuwa R.C wa arusha ndg Daniel Ole Njolay kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa arusha mjini iwapo chadema watashindwa rufaa yao.

kule labda warudishe tanzanite yote walokwapua ndo igombee kwa tikiti ya magamba ndo watashinda
 
hahahaa atafanyiwa kampeni na masaburi au lusinde?? hata hatutishiki

Anafikiri yale aliyofanya enzi akiwa RC hapa kabla ya kugawanywa Mkoa wa Arusha na kupata Mkoa wa Manyara tumesahau?
Labda kweli masaburi yake ndiyo yatampigia kura!

Haya mafisadi wanaona watu wamelala siyo!
 
bado sijajua yuko kundi gani.
Inawezekana ikawa ni option ya lowassa.
Au inawezekana ikawa ni option ya jk akitaka kumuondolea machungu.

Njoolay alikuwa kinyume kabisa na Lowassa na Jk wakati wakiupania urais.
walipoupata wakamtupa Sumbawanga.
Hawezi kugombea maana hana support ya Edo wala Ritz 1
 
kuna tetesi kuwa ccm inamuandaa aliyewahi kuwa R.C wa arusha ndg Daniel Ole Njolay kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa arusha mjini iwapo chadema watashindwa rufaa yao.

Njolai karibu tukufunze adabu.......hatujasahau kauli zako chafu ulipokuwa mkuu wa mkoa wa Arusha zikiwemo............."kama AFGEM = TANZANITE ONE watafukuzwa niko tayari kujiuzulu U-RC".......hii ni mbali na kuamrisha manispaa kufanya bomoabomoa nying kwa wale ambao wana hati za kujenga maeneo yao na kuiachia manispaa kesi kibao mahakamani.....................

karibu Mheshimiwa......................it is payback time.........
 
Labda agombee KOMBE....anaweza saidia kusafisha aibu ya magamba group wasipate aibu sana.
 
:) hakuna uchaguzi arusha hadi 2015
lema bado atakuwa kamanda na waliomfungulia kesi watahama mji kwa aibu na fedheha
 
kuna tetesi kuwa ccm inamuandaa aliyewahi kuwa R.C wa arusha ndg Daniel Ole Njolay kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa arusha mjini iwapo chadema watashindwa rufaa yao.

Jamani hizi tetesi za wagombea wa ubunge jijini Arusha kupitia ccm mbona zinakidhalilisha chama cha magamba kana kwamba wanaokoteza wagombea kama wapinzani wa 1995? NAPE OMBA MOD WAFUTE THREAD ZA AINA HII VINGINEVYO CCM INA AIBIKA.
 
Back
Top Bottom