Taarifa ya ukaguzi ya CAG yawasilishwa bungeni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa ya ukaguzi ya CAG yawasilishwa bungeni!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Apr 12, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,553
  Likes Received: 18,238
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,
  Ile taarifa muhimu sana kuliko taarifa nyingine inayopaswa kuwasilishwa bungeni kwa mujibu wa katiba, Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG, Imewasilishwa rasmi bungeni asubuhi hii, hivyo kuifanya taarifa hiyo kuwa ni public document.

  Taarifa hiyo imewasilishwa katika mafungu 7!, hii ikiwa ndio mara ya kwanza katika historia ya Bunge letu tukufu, kupokea taarifa 7 tofauti za ukaguzi kwa wakati mmoja!.
  Niko hapa viwanja vya bunge mjini Dodoma, kuwaletea taarifa hiyo rasmi, pamoja na mambo mengine, ikiwemo kuiripoti live Press Conference ya CAG atakaye andamana na M/Kiti wa POAC, Mhe. Zitto Kabwe, M/Kiti wa PAC, Mhe. John Cheyo na M/Kiti wa LGAC Mh. Lyatonga Mrema.

  Asante

  Pasco.
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Pasco umedhihirisha unafiki wako, pamoja na kutuletea taarifa ya CAG kweli hukuona tukio la kuapishwa Nassari? Sisemi kila kitu lazima uripoti wewe lakini nafikiri angekuwa Sioi ndiye anayeapishwa basi leo ungefanya sherehe na kuwa wa kwanza kuanzisha thread yake.
   
 3. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Siku hizi Credibility ya Pasco imeshuka sana.
   
Loading...