Kwanini nitaipenda CCM katika maisha yangu - natangaza rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini nitaipenda CCM katika maisha yangu - natangaza rasmi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPAMBANAJI.COM, Apr 13, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Natangaza wazi na kwa moyo wadhati ya kwamba nitawaunga mkono na kuikubali ccm na wanachama wake wote katika maisha yangu yote baadaya ya kupoteza pumzi yangu hapa duniani....CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeee


  Peoples................................. kama kweli waniunga mkono.....utasema Power to All Tanzanians  Haya ni maoni yangu ktka all Generation Rights...and not just Civic and Political ones.
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Sijakusoma Mpambanaji(aka Mr. 6, aka Mr.sumu),
  Eti kuna tetesi sumu siku hizi zinawekwa kwenye AC ukiwasha tu kupata kaubaridi umekwisha ni kweli mpambanaji?
   
 3. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Vyama vya siasa havipendwi kutokana na majina yake au kama nguo, vyama vya siasa vinapendwa kutokana na sera zake, uadilifu wa viongozi wake na namna vinavyosimamia utekelezaji wa sera zake na haki kwa raia wake!
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hili ni zao linalopatikana kwa wingi bagamoyo.
   
 5. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Kama sio Mwanasaokolojia hautanisoma kamwe.....otherwise name urself "slow thinker"
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Magamba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 7. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,915
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  CCM ni baba wa CDM, siku zote baba yuko makini kusaidia maisha ya watoto
   
 8. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono.....100%
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu hii imegoma kabisa badilisheni nyingine!
   
 10. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Jamani msameheni tu mleta hii post taarifa za kiintelijensia zinasema jana alilala chumba kimoja na LIVINGSTONE LUSINDE pale TIGER MOTER area C dodoma atakua alikunwa kisawasawa.
   
 11. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Si vizuri kunya huku unaandika post!matokeo yake unakuja na makimba ya kijani yako jamvini!uvccm bagamoyo kwa kunya!
   
 12. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unaipenda kwa kuwa wewe ni fisadi.Mtu muungwana hawezi kupenda CHAMA CHA MAFISADI,kwa lipi hasa,KUIFUKARISHA Tanzania?
   
 13. S

  Starn JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Power to all Tanzanians sio kwa wachache, CCM Oyee, ninavyopenda CCM nitakunywa sumu juu yake.
   
 14. Helper

  Helper JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 915
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  uki2mia sumu utachelewa kufa ,ntakuazima gobore, wai faster mafisadi mpungue.
   
 15. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huna lolote! akili ya maiti..
   
 16. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duuuuh chaimaharage hiyo avatar yako mchina nini?
   
 17. Ngorunde

  Ngorunde JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2006
  Messages: 1,121
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red Umesema sawa, kama ni baada ya kupoteza pumzi hapo tuko pamoja.
   
 18. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kuna mambo mengi sana ya kujadili ktk nchi yetu, kwanini tunajadili upuuzi kama huu? What is the importance of this post?
   
 19. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Mpaka sasa wewe ndio umenielewa.....wengine wote naona ni wavamizi wa mada tuuuu...hongera kamanda...CDM hoyeee
   
 20. ipogolo

  ipogolo JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 4,045
  Likes Received: 2,922
  Trophy Points: 280
  Mkuu hawajakuelewa. Naomba kufafanua: Wakati wa uhai wako hutokuwa mwanachama wa CCM. utajiunga na CCM baada ya kifo chako. means ukishakufa umekufa.huna uhai tena. Jamaa wengine wavivu wa kufikiri hawamalizi kusoma sentenso na kuzirudia.
   
Loading...