Mtazamo kwa wanasiasa

Fraddle b

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
222
18
Kwa mtazamo wangu naona wanasiasa wasiwe wanatumia vitabu tukufu vya mwenyezi mungu mfano BIBLIA+QURUAN katika kuapa kwa sababu wanayo yafanya ni unafiki pamoja na kudharirisha vitabu hvyo tukufu
swali dogo la kujiuliza hapa nchini watuhumiwa waliochukua/wanaochukua pesa ya wananchi nao huwa wana apa? Kama wana apa basi ni unafiki
 
Back
Top Bottom