Live in TBC topic what happened ktk uchaguzi wa Arumeru East | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live in TBC topic what happened ktk uchaguzi wa Arumeru East

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by uwemba1, Apr 13, 2012.

 1. u

  uwemba1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 755
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 60
  Najua wengi mshaacha kucheki TBCCM but just but that's what is happening Tatizo wanaongea english me siwapati coz nimetoka zile za kata na kingereza changu cha kichina aka feki.
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,817
  Trophy Points: 280
  Dr. Mkumbo anasema CCM badala ya kusema walichowafanyia raiya kwa miaka 50 wao wakawa wanatoa ahadi tu.
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,817
  Trophy Points: 280
  Tendwa amepanic baada ya kuambiwa na Dr, Mkumbo kuwa ali-violate freedom of movement baada ya kusema washihi walisema eti watamuua Lema akienda arumeru atauliwa lkn hakuguswa na na lishiriki 75% ya kampeni bila kudhuriwa na alionekana Hero.
  Dr. Lwaitama anasema alishangaa sana Tendwa alivyotunga habari hiyo. Kwa kweli Tendwa anaibishwa mbele ya watanzania kwa uongo wake.
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,950
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  Tendwa ndo '*mjin*ga' katika wote hapo
   
 5. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  This Week In Perspective
  Tuangalie hivyohivyo mkuu tutakuwa tunaokota okota baadhi ya vijineno ukiunganisha lazima utapata picha nzima2 hi lugha bwana we acha tu! Asante kwa taarifa mkuu!
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,817
  Trophy Points: 280
  Dr. Lwaitama ansema baada ya matokeo ya arumeru watu wameanza kuwa na imani na NEC hasa ukizingatia uongozi mpya
   
 7. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,950
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  Lwaitama anasema kama polisi 2015 watakuwa huru na kutofukuza walinda kura, amani itakuwepo
   
 8. K

  Keil JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Asante Daudi Mchambuzi kwa kutuwekea hapa kinachoendelea.
   
 9. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Tendwa anadai Chama kinachoenda kwenye uchaguzi mdogo baada ya kifo au mahakama, kina-panic hivyo kuanza kufanya makosa, ambayo wapinzani wame-take advantage.

  - Baregu anasema "there are no longer safe seats", CCM wamepanic ndo maana tulimwona Mkapa analikuwa anaongea mambo ya ajabu.
   
 10. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Naona wametoa michango mizuri. ila warning yangu tusije tukaweka conclusion kwa case ya Arumeru pake yake kwa kusema sasa tumekuwa na population maturity on elections. mjaribu Dodoma muone kama itatoa the same results
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,817
  Trophy Points: 280
  Prof. Baregu anasema kuwa Mkapa angetumia maneno aliyotumia arumeru asingetoka mzima pale jukwaani
   
 12. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,706
  Likes Received: 17,752
  Trophy Points: 280
  Davie na wajuzi wengine wa kidhungu tupeni msaada kwa karibu ktk lugha, msitupotoshe plz
   
 13. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tendwa na tabia za kikwere(kuuma na kupuliza)
   
 14. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuaibishwa kunamstahiri, maana ni yeye mwenyewe alihitaji hivyo!
   
 15. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Hivi Tendwa alipataje u-judge, was it from Mwinyi, or Ben..coz he seemed to be
  mwanachama/shabiki mzuri wa chama tawala.
   
 16. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vyama vya siasa vyote ulimwenguni huwa haviwezi kukubalika sehemu zote katika nchi, kikubwa ni kukubalika katika sehemu kubwa ya nchi na kwa asilimia kubwa ya wananchi, kwa mantinki hiyo swala la Dodoma haliweza kutunyima usingizi!
   
 17. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tendwa kanyweya kama kuku aliyenyeshewa na mvua.
   
 18. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mkumbo amemchana Tendwa Live tena bila chenga. Huku akiainisha ushahidi wa kitafiti ikiwa ni pamoja na Lema kushiriki 75% ya kampeni akionekana hero.
   
 19. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Ma-judge wote ni wateule wa mwenyekiti wa chama tawala kwa maana hiyo lazima watakuwa wanachama wa chama kinachowateua! Hivyo anachokifanya Tendwa bado kingefanywa na mwingine yeyote katika nafasi yake, provided kwamba ni mteule wa mwenyekiti wa chama tawala!
   
 20. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dr. Mkumbo ni kichwa sana, maana kwake nyeusi ni nyeusi hajui kulemba!! amempasha na kumchana chana Tendwa live!
   
Loading...