Police wapatao 800 walipelekwa Arumeru. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Police wapatao 800 walipelekwa Arumeru.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Apr 13, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Katika mkutano wa Chadema dodoma,Dogo janja alishangazwa na Serikali ya magamba.
  Kupeleka police 800,magari ya washawasha 4..na vingine kama waenda vitan vile.

  Magari 45 ya police
  Magari 4 ya maji washa.
  Mabomu ya machozi ya kutosha.

  Siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
   
 2. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hiyo ndo ccm bana
  ili kuipenda unapaswa uwe na akili ya maiti!! Huwezi kuwa na akili timamu ukaipenda ccm
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Habari za ndani ya jeshi la polisi ni makuruta mia tisa kutoka ccp walipelekwa Arumeru. Achilia mbali waliotoka maeneo mengine ndani na nje ya mkoa wa Arusha! Kama walilipwa posho ya elfu kumi kila mmoja, magari na pkpk yakawekwa mafuta, basi zilitumika zaidi ya milion 10. Sawa na madawati 333 ambayo yangeweza kutumiwa na wanafunzi karibu elfu 1 wa shule za msingi!
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ama kweli chadema tunaitishia CCM yaani vyote hivyo ni kwenye mkutano wa chadema tu....
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kaka hapa nikuingia msituni..
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Gharama 2 za bure,afu polisi arusha hawakutoa maocampo coz wanadaiwa lema kawalisha itikadi,naunga mkono hoja coz nliona defender yenye chata 'MORO FFU' na RCO DODOMA.
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mimi niliona la PWANI.
   
 8. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwenye uchaguzi wa 2015, inabidi bajeti yote ya serikali ya magamba iamie kwenye ununuzi wa silaa za kivita, la sivyo...
   
 9. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Unajau zanzibar ni vikosi vingapi active and armed to teeth wakati wa uchaguzi?

  1. Jeshi la polisi

  2, JWTZ

  3.JKU

  4.KMKM

  5. Chuo cha mafunzo MAGEREZA  6. VALANTIA


  7. Kikosi cha zimamoto na uokozi.
   
 10. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  itafika wakati hata wenyewe wataweka silaha chini kuwa 'Sasa inatosha!'
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa nchi hii honestly vilaza ni wengi!!!!!!
   
 12. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 940
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Kila kitu kina mwanzo na mwisho,mwisho wa CCM upo karibu hivyo watanzania msiwe na hofu.
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Tayari mkuu bado hawaja fanya hivyo rasmi lakini tuko nao mitaani wamechoka na mambo ya CCM....
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ila tujipange zaidi maana hawa lali wakifikilia jinsi ya kuiangamiza CHADEMA....


  MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 15. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kwii Kwii hivi Commander in Chief of the Armed Forces (Amri Jeshi Mkuu) pia anaongoka vikosi vya VALANTIA?
   
 16. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Watanzania wa siku hizi (baadhi ya sehemu) ni waelewa sana. Kinachoitajika sasa ni vitu viwili tu (elimu ya uraia & Uboreshaji wa daftari la wapiga kura) sisiemu ife rasmi
   
 17. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wanaleta sela amani,mlango wa nyuma wanajiandaa vita.kwisha habari yao kabisaaa wamelaaniwa hawa magamba,ugumu wa maisha kwa wananchi ni laana tosha.
   
 18. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Allawance zao ni zaidi ya mishahara yao ya mwaka
   
 19. N

  Noboka JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,145
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Hapa kamanda Lema akate mbuga kutoa ubarikio kwa walio gizani, shule za kata zinaendelea kutema zero huko vijijini, kwahiyo vijana ni wengi hao wanawahi kuelewa na wenyewe wanaenda kuwasomesha wazee wao kazi kwisha hadi 2015, kila kitu kweupe
   
Loading...