Nawauliza watanzania wenzangu! Hivi wabunge wa CCM wana matatizo gani katika akili zao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawauliza watanzania wenzangu! Hivi wabunge wa CCM wana matatizo gani katika akili zao?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Apr 12, 2012.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mambo ya kushangaza kabisa yanafanywa na wabunge wa CCM. Hivi hawa watu akili zao zikoje, mbona hata mambo ya maana na maslahi kwa nchi wao wanapinga tu, hata kama kifungu kinahitaji marekebisho ya msingi na muhimu kwa maslahi ya taifa wao wanapinga tu. Huo ni ushamba na upinzani wa kijinga. Sasa kama wanakataa marekebisho hayo mavifungu yao ya sheria wanayapeleka bungeni ya kazi gani? Naona wabunge wa CCM mkiwa bungeni mnasahau kama bunge hivi sasa linatizamwa LIVE na watanzania hadi huko vijijini, upuuzi ayaaa! Umeme nao umekatika, aisee hii nchi hii. Ntaendelea umeme ukirudi..
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,787
  Likes Received: 6,115
  Trophy Points: 280
  Mkuu tatizo lako "sura yako halisi" haiko clear. Leo utaongea hivi kesho hao hao unaowashangaa leo utawa-support hata kama watarudia upuuzi wa aina hiyo hiyo. In short you are not predictable.
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,985
  Likes Received: 1,909
  Trophy Points: 280
  kama hana msimamo basi hawez kuwakosoa. binafsi sifagilii siasa za vijembe bali zenye tija kwa taifa.wabunge wa jani la mgomba wengi wao ni waoga na niliwahi kwenda bungeni miaka ya 2004 kwenda kufanya lobbying juu ya uanzishwaji wa bodi ya mikopo huwez kuamini niliyoyasikia kwa wabunge wa jani la mgomba walisema sipendi kuwataja kwa majina ila walichosema ni sisi always mikono yetu inabidi iwe sahihi mbele ya serikali. huwez kuamin waliupitisha kwa hoja ya nguvu na matokeo yake ni hii hali unayoiona sasa hivi. From that day nilijiondoa katika siasa kwani nilisema siwez kuwa mnafiki.
   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hukumu yao ipo kwa wananchi ambao wanaona ***** wanaoufanyika hawasomi miswada michango yao ni mipasho wale wanaosoma na kutoa mchango wa maana wanaonekana wapinzani.
  Hukumu yao yaja.
   
 5. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Duh! mkuu, kumbe wewe ni mgeni wa msimamo wangu? Elewa kuwa mimi sina chama bali huwa naegemea upande wa yeyote aliye sahihi. Leo Myika akiwa sawa ntamuunga mkono. Kesho akipotoka nampa kubwa. Kesho wa CCM akifanya vyema nampa big up, akipotoka nampa kubwa. Ndivyo nilivyo. Hata mtu akiwa mzuri vipi, akifanya pumba lazima nimchane.
   
 6. c

  collezione JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Acheni tu kuongea... Chukueni actions kuwatoa
   
 7. m

  massai JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
   
 8. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  specifically nini kimekukera?

   
 9. D

  Dawa ya Mjinga JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 382
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Matatizo katika akili zao ni kujaa magamba vichwani mwao badala ya ubongo. Kwa wale wachache wene ubongo kichwani wanatumia masaburi kufikiria badala ya kichwa.
   
 10. d

  dada jane JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umeonaeee!
   
 11. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tatizo si wabunge wa CCM tu bali hata wale wanaowachagua na kuwavumilia wakati wakijua wanaangamiza taifa. Tuseme mara ngapi muelewe.
   
 12. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Mkuu Jumakidogo, msimamo wako wa umangimeza ndio unaotuchelewesha! Unachotakiwa kujua mtu yeyote aliye ccm hutamuka tofauti na anachokisimamia, pia maccm wana msimamo wa pamoja katika kuinajisi Tz ndiyo maana wameshindwa kuvuana magamba. Pengine waliposema tutavuana magamba uliwaunga mkono, baada ya kushindwa kuvuana magamba aliyechanwa chanwa ni wewe Jumakidogo usiye na msimamo.
   
 13. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wabunge wa ccm ni mtandao hatari sana kwa maendeleo ya taifa letu, kuna watanzania wenzetu kwa kweli wametufanyia makosa sana kutujazia mule bungeni mibunge ya ccm, inatuumiza saana! Wasubiri 2015.
   
 14. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Huitaji kuumiza kichwa wala kufikiria mara mbili. Weka kadi yako ya kupigia kura vizuri na kuangalia anayechangia upuuzi umwondoe uchaguzi ujao. Kumbuka kuwa kanga, chumvi, tshirt na kofia ulizopewa ukawachagua ndio outcome zake hizi na usifanye tena makosa haya!
   
 15. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  matatizo yameanzia kwa m/kiti
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  zidumu fikra za mwenyekiti. CCM HOYEEEEEEEE
   
 17. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  kura yako ulimpigia mbunge yupi?
   
 18. Mukhabarat

  Mukhabarat Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mimi sijaona kosa lolote kwa huyu jumakidogo kwa maana si lazima mtu uunge mkono kila jambo eti kwa kuwa ni shabiki wa chama fulani, huyu jamaa ana haki ya kukosoa mambo anayoona hayana mantiki na kuunga mkono yale anayoona yana mantiki kwa mtazamo wake, hiyo ndo demokrasia na uhuru wa mawazo na sio kuwa shabiki kipofu bendera kufata upepo.
   
 19. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,645
  Likes Received: 3,020
  Trophy Points: 280
  Wakirud kwa wananchi wanasema walikubaliana kupitisha
   
 20. J

  JAPHETtumpa Senior Member

  #20
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wabunge wa ccm wamelewa madaraka na huu ni ulevi mbaya saana na kama mlevi yeyote hawaoni wala hawasikii mpaka wachapwe viboko vya kisiasa kama kupigwa chini wakati wa uchaguzi na baada ya hapo kuwashitaki na kuwafilisi wale wote waliotuibia
   
Loading...