Kauli ya JK kuhusu KATIBA, utata mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya JK kuhusu KATIBA, utata mtupu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyakageni, Apr 13, 2012.

 1. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,723
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  Nimesikitishwa saaana na kauli ya JK aliposema kuwa tunaandaa katiba mpya eti 'watakaoshindwa uchaguzi wakose kisingizio'. Kauli hii inaonesha mapungufu haya:
  1) inaonesha ya kuwa kashinikizwa na hajaridhia kwa moyo mweupe.
  2) kuna mbinu
  mbadala ya
  uchakachuaji
  itakayotumika kwa
  hiyo hawana hofu
  3) anajua kwa ubovu
  wa sheria aliyosaini
  anaweza kupangua
  na kuweka katiba
  aitakayo.

  USHAURI KWA JK:
  *Kama uwezo wako
  wa kufikiri ni mdogo
  hivyo, hufai
  kuongoza nchi yetu
  ya Tanzania na
  kusimamia katiba
  'mpya'
  *Usicheze na maisha
  yetu, damu
  itakayomwagika na
  iwe juu yako na
  watoto wako.
   
 2. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,452
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  jamani siyo kila kauli ionekane ni kudidimiza upinzani..! kwani ccm haiwezi kushindwa? y tuhisi ni upinzani tu!
   
 3. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu lini kikwete alizungumza kitu kwenye hadhara kubwa kisicho na utata?!? Viongozi waswahili ndivyo walivyo.
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Peoples Poweeeeeeeeeeeeeeeeer haichakachuliki mdau ohoooooo!!!!
   
 5. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Nami nimesikitishwa sana nilidhani atasimama Kama serikali zaidi kuliko kichama. Hasa aliposema eti kuna watu wanadai hawawezi kukishinda Chama tawala Kama Hakutakuwa na katiba mpya.. Kweli Mkuu hapo Alichemka
   
 6. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Issue ya katiba so long as imekwenda kwa watu, hawezi kui-control tena! He may wish so, but it is already out of his reach!!
   
 7. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asingechemsha ningeshangaa sana maana siyo kawaida yake.
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  jk ni pilato. Ananawa mikono tu ili mjue kuwa hana khiyana.
   
 9. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngoja tuone kama ni katiba mpya inaandikwa au yanafanyika mazingaombwe!
   
 10. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,723
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  dhamira haionekani katika matamshi yake
   
 11. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  sera ya sasa CCM inaitwa "Tamba uone". wewe tamba sasa tuu kujidanganya na katiba mpya halafu ungoje kuona 2015 uchaguzi mkuu.
   
 12. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,723
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  na kwa kuwa iliandaliwa, nadhani think tank ya taifa ni mbovu sana
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,723
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  tungependa kupata uhuru bila kumwaga damu
   
 14. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,586
  Likes Received: 5,806
  Trophy Points: 280
  Hiyo kauli mi sioni mbaya.

  Inaweza kutafsiriwa kama standard ambayo rais anaiweka kwa katiba mpya isiwe na loopholes za kufanya chama kishinde uchaguzi kwa mizengwe.

  Kwa maana hii, kama katiba mpya itapitishwa lakini itabaki na matobo, wananchi tunaweza kumshika shati rais na tume yake na kuwauliza mbona rais alisema tunataka katiba mpya ambayo haiwezi kupitisha watu kwa mizengwe?
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,723
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  madhara ya kuwa mwenyekiti wa chama huku rais
   
 16. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,723
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  mkuu ukifuatilia kwa umakini ana uwezo hata wa kupangua yatakayoletwa na tume bila ridhaa yoyote
   
 17. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  unajua CUF walijifanya wao wanajua sana mambo ya kibasha ubasha. wakaja na zao za kusema popobawa au ngangali na ngunguli. walipelekewa mabahasha ambao kwanza walioanzia kupiga denda miti mikavu huko polini, Janja weeed! usicheza na CCM wewe, ogopa!
   
 18. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,723
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  mkuu ina maana ni kawaida yake kuvurunda?
   
 19. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,723
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  sijakuelewa mkuu. Dadavua
   
 20. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,723
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  time will tell. Awe makini sana
   
Loading...