Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za Asubuhi Wadau, Jumapili ya leo Jukwaa la Siasa na Uchumi litaangazania Idadi kubwa ya wahitimu kutoka Taasisi mbalimbali Nchini ambao wapo majumbani hawajui nini la kufanya. Tutajadili...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
� • NAGU, MEDEYE WAO WAJITETEA na Mwandishi wetu WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, jana aling'aka akidai kuwa mwenye majibu kuhusiana na tuhumu zilizoelekezwa kwake na...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Mara nyingi sana nimesikia wanasiasa wakitoa ahadi za kuchimba visima kama njia ya kutatua tatizo la maji - iwe mjini au vijijini. Hebu angalia vichwa hivi vya habari kisha usome swali langu tena...
11 Reactions
77 Replies
7K Views
Wadau naomba kujua ni vipi serikali inakosa pesa za kuendeshea shughuli zake za kiofisi na kufanya miradi ya maendeleo kama alivosema Pinda wakati TRA inavunja rekodi yake ya ukusanyaji wa mapato...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Sifa zake: Haifananishwi na tv's nyingine hapa nchini.ina habari fipi kama muhustasari wa tv binafsi kama ITV,ina viongozi wenye nyodo na maringo utafikiri wanaongoza CNN AU BBC,ina baguzi wa wazi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nipata bahati ya kukutana na mmoja wa makamando wa CCM kule zanzibar tuliongelea mengi kuhusu pande zote mbili za Tanzania na hali halisi ilivyo hivi sasa na huko mbele nini kinaweza kutokea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, Tangu jana nimekua nikiisoma ripoti ya Serikali Kuu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya mwaka wa fedha 2010/2011 yenye kurasa 191. Nilipofika ukarasa wa 90 nikashtuka kuona...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
anamwaga sera na watu ni wengi sana
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Pamoja na kumuunga mkono JK kwa maoni yake aliyotoa jana kuwa muungano ubaki,pia nawaunga mkono CHADEMA kwa suala la kugawanya Tz kimajimbo.napendekeza kuwa kuwe na serikali moja yenye majimbo...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Marry Nagu akiulizwa kujibu tuhuma za kutumia lugha za kibaguzi katika kampeni kukibeba CCM alikubali makosa na kumuomba Mh Mbowe kuyaacha mambo ya kampeni za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jana katika kongamano la kigoda cha mwalimu nyerere lilifanyika ktk ukumbi wa nkurumah uliopo hapa chuo kikuu cha taifa_udsm_kwa masikio yangu mwenyewe nimemckia akiwauliza wajumbe eti naye hajui...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda Audhuria Ibada ya Kumkumbuka Aliyekuwa Waziri Mkuu,Hayati Edward Moringe Sokoine Written by haki | // 0 comments Askofu wa Jimbo Katoliki la Morogoro, Mhasham...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Jana nilikuwa na angalia kipindi cha KIPIMA JOTO kinachorushwa na ITV kila Ijumaa, nilishangaa kusikia kutoka kwa mwakilishi Wa tasisi moja ya Serikali inayoshughulika na maswala ya mafuta akisema...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria, Abdelaziz Bouteflika kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa nchi hiyo, Ahmed Ben Bella...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hello Bandugu: Tafadhali rejea site hii: matukio-michuzi Nimeshangaa sana Prof. Baregu kuapa bila Biblia wala Quaran. Naomba kuelewesha maana/tafsiri yake. Please! Tafadhali!
0 Reactions
118 Replies
11K Views
Nilikuwa naangalia kipindi cha "This Week In Perspective" kinachorushwa na TBC1, na mada ilikuwa "FUNZO LILILOPATIKANA KATIKA UCHAGUZI MDOGO ARUMERU MASHARIKI". Hii ni baada ya kufanya tafsiri...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
kila kona jimboni busanda.ni vilio vya ahadi hewa .za ccm.wanasema wanakumbuka kazi ya mh.kabuzi.wajutia kura yao. Wengi wafunguka na kuuliza wako wapi CHADEMA. huku.wanasema 2015.upinzani...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi Ndugu John Pombe Magufuli akihojiwa na waandishi kuhusu kutumia siasa chafu za kibaguzi kwenye kampeni mbalimbali kukibeba CCM alikwepa kujibu hoja ya dhambi yake na kumsukumia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani watanzania tuache ushabiki tuwe wadadisi wa mambo. Rais huyu wamemtwika lawama nyingi ila ukweli ni kwamba Mkapa alikuwa akiongoza serikal kwa mkono wa chuma, wakati huo watanzania...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau wajamvini Habari, Jamani tuweni makin na post za kupotosha na za udaku, kuna mdau anajijua aliweka post kuwa Kanumba kaagwa mpaka na rais lakin Kiaro na Mkuu wa mkoa, unajua udaku kama huu...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…