Dr.Mary Nagu: Katiba mpya itakuwa nzuri kama ya mwaka 1977 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr.Mary Nagu: Katiba mpya itakuwa nzuri kama ya mwaka 1977

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zumbemkuu, Apr 22, 2012.

 1. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Mh. Dr.Mary Nagu leo akiongea na wananchi wa jimbo lake huko Hanang amesema ana amini 100% chini ya Kikwete Katiba mpya itakuwa nzuri kama ya mwaka 1977. source ITV habari

  SIJUI HUYU MAMA KAFIKIRIA NINI KUSEMA HIVYO?? SASA KAMA KATIBA YA MWAKA 1977 NI NZURI NA HIYO TUNAYOTAKA ITAKUWA KAMA HIYO YA MWAKA 1977 KUNA HAJA GANI YA KURUDIA KUICHAPA UPYA? LOH!
  NIMEAMINI CHINI YA CCM HAKUNA KATIBA MPYA BALI KUNA JARIDA JIPYA LA KITABU.
   
 2. m

  madrid Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naguuuuuuuu,huyu naye ni kituko mwingine,wa hovyo kama chunusi yake
   
 3. M

  Mahumanga Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamanda watu wote wanaotoka kambi ya Magamba ni kama wendawazimu, nimemsikiliza eti nzuri kama ya mwaka 77 sasa kwanini tunataka mpya kama ya1977 ni nzuri, Watu wa magamba ni kichwa cha mwendawazimu.
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,252
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Huyu asamehewe bure hajui anachokisema
   
 5. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwa hivyo tutegemee katiba mpya itakuwa na picha ya chama kimoja "CCM"
   
 6. S

  Sarya Senior Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu mama ni bakuli sijawahi ona, anawadanganya wapiga kura na kupanda kwa bei ya mafuta na maharamia, yaani ......... kuna mijitu ukisikiliza utatamani kupga mawe tv. Kweli ameboa, maana yote anayoyaongea hayana mashiko.
   
 7. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 941
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Hivi Mary Nagu ana phd ya nini? Mbona maneno yake haya reflect any phd material? Au ni fani moja na maji marefu?
   
 8. munisijo

  munisijo JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Magamba wamesha changanyikiwa, kila anayepanda jukwaa anatetemeka tu, wamepoteza kujiamini kwao! Nimemuona anawadanganya wakima mama za watu pale..et PhD?!Labda ya online...hajui hata alikua anaongea nini!
   
 9. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Amefiwa na baba kwa hiyo alikuwa amechanganyikiwa wakati anayaongea hayo. Hata hivyo kwa wastani huwa hayupo makini kama magamba wengine
   
 10. l

  liverpool2012 Senior Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanawake wakiwezeshwa wanaweza
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Huyu mama ni Kizibo mno!
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,780
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  aliwahi kuwaambia wana-arumeru wasichague upinzani; watacheleweshewa maendeleo.

  halafu naye anaitwa Dokta!
   
 13. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,207
  Likes Received: 3,188
  Trophy Points: 280
  Nimemsikia nikashangaa sana, nikajiuliza hivi hawa viongozi wa ccm bado wanafikiri tuko zama za zidumu fikra za mwenyekiti!! Akaniacha hoi zaidi alipodai kuwa eti Arabuni kuna machafuko kila kona na Alshabaab wamesababisha meli za mafuta zilindwe ndio maana mfumuko wa bei uko juu. Mi najiuliza kwa mimi mkazi wa Kilombero niliyekuwa nanunua mchele kilo shs 600 miezi tisa iliyopita na leo nanunua 2200 mchele unaolimwa hapahapa waarabu na alshabaab wanahusika vipi na huu mfumuko wa bei ya mchele. Jamani ccm watanzania tumejanjaruka hebu badilini mbinu za kututawala
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Kama katiba ya 1977 ni nzuri kwanini tunaingia gharama ya kutafuta katiba mpya?
  Kukosa akili ni hasara.
   
 15. J

  Jqnakei Senior Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwahayo anayoyaongea atuachie tu jimbo letu la Hanang' wengine waongeze maana inatia kichechefu nikisikia mbunge wang anaongea mameo kama haya.
   
 16. k

  kayumba JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hotuba za viongozi wa ccm ni zile zile au umesahau hata spika aliwaambia wananchi huko kwao eti "ubunge umemletea umaskini, hata nyumba hana"!
   
 17. d

  dguyana JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anasema tatizo la mfumko wa bei ni kutokana na Vita kwenye nchi za kiarabu na Maharamia so Meli zimeongeza gharama kutokana na kulipa walinzi kuogopa maaramia. Yaani CCM wameishiwa sera kabisa kabisa kabisa. Aibu.
   
 18. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Mkuu Molemo,Yule mama leo ni kama alivuta bangi akiinuizia kusema uongo maana pia amesema mfumuko wa bei hapa Tz ni sababu ya vita katika nchi za warabu.
   
 19. T

  Thesi JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 998
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi nimemskia nikashindwa kumwelewa huyu mama. Wanasiasa wanapaswa kujali wanayoyasema siyo kubwabwaja tu kama unatangaza mitumba mnadani.
   
 20. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,477
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mbumbumbu
   
Loading...