Lowasa anajitahidi kweli! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa anajitahidi kweli!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mageuzi1992, Apr 22, 2012.

 1. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Asalam aleikum....ndugu zangu mtakubaliana na mimi kwamba Lowasa alikuwa mchapakazi.
  Tatizo lake ni kashfa alizozipata huyu bwana...Ni muda mrefu amekuwa kimya katika siasa. Ila pamoja na kuwa kimya kuna fununu kuwa anaandaa mikakati kwa ajili ya urais 2015. Mara kadhaa ameulizwa na waandishi wa habari kuhusu swala la urais 2015 amepinga ama amekataa kukiri hilo. Je tujiulize Kuzunguka kwake katika Nyumba za ibada hakuna uhusiano na jambo hili?
  Kwa upande mwingine kama kweli ana nia ya kuwa raisi kwa nini hataki kwenda kwa Watanzania nakuomba msamaha kama alihusika kwa namna moja ama nyingine na kashfa alizopata mpaka akajiuzulu uwaziri????

  Nawasilisha tu
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Utamaduni wa kuombana msamaha Tanzania uanzie kwa EL?
   
Loading...