Ni Muda sasa CUF, Chadema, TLP Kuungana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Muda sasa CUF, Chadema, TLP Kuungana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Apr 22, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa vile CUF na TLP wamesaini kumwondoa waziri mkuu, nashauri viongozi wa vyama vyote vilivyosaini wafanye mikutano kwenye jukwaa moja wazunguke nchi nzima kuwaeleza wananchi sababu za hoja ya kumwondoa waziri mkuu. Hii itaitia sana shinikizo serikali na itakisaidia CUF kuaminika tena.
   
Loading...