Hata Fisi na Mbwa wakifukuzwa-Swala hawezi kuwa Kiranja mwituni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata Fisi na Mbwa wakifukuzwa-Swala hawezi kuwa Kiranja mwituni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by spencer, Apr 22, 2012.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,791
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GreatThinkers,
  Hivi umewahi kuona wapi,Swala apewe madaraka mwituni aongoze Fisi na Mbwa mwitu?
  Kwa jinsi alivyo mpole lazima atadharaulika, hawezi kuwachapa na mwisho atalia mwenyewe.
  Hakika Swala hastahili kuwa kiranja mwituni maana hawezi simamia maadili ya mwitu wapo Fisi wabishi ile mbaya.

  Kwa maoni yangu hakika aliyeamua Swala awe Kiranja Mwituni naye wala hafai,Mwituni sasa hakukaliki.
  Nawasilisha
   
Loading...