Zitto na Orodha ya wabunge waliosaini: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto na Orodha ya wabunge waliosaini:

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmeku, Apr 22, 2012.

 1. mmeku

  mmeku Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Orodha ya wabunge waliosaini:

  1. 2. Rashid Ali Abdallah – CUF
  2. 3. Chiku Aflah Abwao- Chadema
  3. 4. Saluim Ali Mbarouk – CUF
  4. 5. Salum Khalfam Barwany – CUF
  5. 6. Deo Haule Filikuchombe- CCM
  6. 7. Pauline Philipo Gekul- Chadema
  7. 8. Asaa Othman Hamad- CUF
  8. 9. Prof.Kuliyokela Kahigi- Chadema
  9. 10. Naomi Mwakyoma Kaihula – Chadema
  10. 11. Sylvester Kasulumbayi- Chadema
  11. 12. Raya Ibrahim Khamis – Chadema
  12. 13. Mkiwa Hamad Kiwanga – CUF
  13. 14. Susan Limbweni Kiwanga- Chadema
  14. 15. Grace Sindato Kiwelu –Chadema
  15. 16. Kombo Khamis Kombo – cuf
  16. 17. Joshua Samwel Nassari – Chadema
  17. 18. Tundu Antiphas Lissu- Chadema
  18. 19. Aphaxar Kangi Lugola- CCM
  19. 20. Susan Anselim Lymo- Chadema
  20. 21. Moses Machali – NCCR Mageuzi
  21. 22. John Shibuda Magalle – Chadema
  22. 23. Faki Haji Makame- CUF
  23. 24. Esther Nicholas Matiko- Chadema
  24. 25. Joseph Osmund Mbilinyi- Chadema
  25. 26. Freman Aikaeli Mbowe- Chadema
  26. 27. Kurudhum Jumanne Mchuchuli – Chadema
  27. 28. Halima James Mdee-Chadema
  28. 29. John John Mnyika- Chadema
  29. 30. Augustino Lyatonga Mrema- TLP
  30. 31. Maryam Salum Msabaha- Chadema
  31. 32. Peter Msingwa-chadema
  32. 33. Christowaja Gerson Mtinda- Chadema
  33. 34. Philipa Geofrey Mturano- Chadema
  34. 35. Christina Lissu Mughwai- Chadema
  35. 36. Joyce John Mukya – Chadema
  36. 37. Mchungaji Israel Yohane Natse – Chadema
  37. 38. Philemon Ndesamburo- Chadema
  38. 39. Ahmed Juma Ngwali- CUF
  39. 40. Vincent Josephat Nyerere- Chadema
  40. 41. Rashid Ali Omar- CUF
  41. 42. Meshack Jeremiah Opulukwa- Chadema
  42. 43. Lucy Philemon Owenya- Chadema
  43. 44. Rachel Mashishanga- Chadema
  44. 45. Mhonga Said Ruhwanya – Chadema
  45. 46. Conchesta Rwamlaza – Chadema
  46. 47. Moza Abedi Saidy- CUF
  47. 48. Joseph Roman Selasini – Chadema
  48. 49. David Ernest Silinde- Chadema
  49. 50. Rose Kamili Sukum – Chadema
  50. 51. Cecilia Daniel Paresso- chadema
  51. 52. Kabwe Zuberi Zitto- Kigoma Kaskazini
  52. 53. Magdalena Sakaya – CUF
  53. 54. Rebecca Mngodo- CUF
  54. 55. Sabreena Sungura -Chadema
  55. 56. Hamad Rashid Mohammed- CUF
  56. 57. Rukia Kassim Ahmed- CUF
  57. 58. Mustapha Boay Akoonay -Chadema
  58. 59. Abdalla Haji Ali -CUF
  59. 60. Khatibu Said Ali -CUF
  60. 61. Hamad Ali Hamad -CUF
  61. 62. Riziki Omar Juma -CUF
  62. 63. Haji Khatibu Kai -CUF
  63. 64. Anna Marystella John Malack -Chadema
  64. 65. Hamad Rashid Mohamed -CUF
  65. 66. Rajab Mbarouk Mohamed -CUF
  66. 67. Thuwayba Idrissa Muhamed -CUF
  67. 68. Masoud Abdallah Salum -CUF
  68. 69. Muhamad Ibrahim Sanya -CUF
  69. 70. Ali Khamis Seif -CUF
  70. 71. Haroub Muhammed Shamis -CUF
  71. 72. Amina Amour Nassoro -CUF
   
 2. M

  MWINUKA E Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wabunge waliosaini ni 73 mbona mnarudiarudia hii list ya watu 71. This is already outdated; wekeni ya wabunge 73.
   
 3. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Yani hii ni thread ya 6 sijui ..
  wewe ndo ulikua hujui toa kabisa.
   
 4. S

  Sayfulhaq Senior Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Hello waheshimiwa mm ni mwana jf mpya, swali nijiulizalo ni kuwa je suala la tetesi za kujiuzulu hawa waheshiwa ikiwa litatokea kweli au hilo la kura za kutokuwa na imani na waziri mkuu, je litaleta positive result au ndio lile la kubadilisha chupa kinywaji ni kile kile? Mnaonaje wana jf wenzangu?
   
 5. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mh Rose Kamili ni ndugu yake Josephine mshumbusi?
   
 6. Mlingwa

  Mlingwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naomba swali lako lisijibiwe kwasasa, hadi jumanne Jioni.

   
 7. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,062
  Likes Received: 1,450
  Trophy Points: 280
  Wawapi Filikunjombe, Selelii,Ole Sendeka,Anna Kilango, na Wengine wajiitao Wapiganaji wa HAKI za Watanzania?
   
 8. K

  Kameno Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Selelii sio mbunge na Filikunjombe yuko orodha.
   
 9. Y

  Young zee JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 398
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Uwe unasoma kwa makini, Ukiangalia namba 5 na 6 kwenye list hapo juu utaliona jina la deo Filikunjombe. Kwenye red mkuu naweza sema ww sio mtanzania, yaani hujui kuwa Selelii kaangushwa kwenye kura za maoni ya ccm kule nzega? na nafasi yake kuchukuliwa na Hamisi Kigwangala (MB) kwa sasa ?
   
 10. m

  mtavana Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kweli bwana watu wawe very careful reading through lines.JF ni mtandao wa watu makini tuuu
   
Loading...