MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,443
NI dhana rahisi sanai!kansa ya mguu tiba yake ni kukata mguu, kansa ya titi ni tiba yake ni kukata titi, vivyo hivyo kwa kansa zingine!shughuli inakuja ikiwa mtu ana kansa ya kichwa!Tiba yake ni kukiondoa tu kwani hata ukikiacha utakufa tena kwa mateso!Ndio maana kama kansa ni ya kichwa ni bora viungo vingine kama moyo,ini,figo na kadhalika viondolewe kwenye mwili wako ili angalau wenye matatizo ya vitu hivyo lakini wasio na kansa ya kichwa wavitumie kuboresha afya zao!kwa upepo huu unavyovuma ni wazi kuwa magamba hayapon!Heri kuvua gamba na kuvaa gwanda, heri kuwa kamanda kuliko kuendelea kuwa nyoka!