CCM iko kwenye chupa ni dhahili Kikwete hana mbadala wa mawaziri hawaaminiani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM iko kwenye chupa ni dhahili Kikwete hana mbadala wa mawaziri hawaaminiani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 22, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ninachokiamini kulingana na utetezi wa Waziri Omary Nundu serikali ya ccm wote ni wezi na kilichopo ni kuzungukana na kula kwa nyuma.

  Hii ndo inapelekea kwa mtizamo wa JK na Pinda walio kuwa wanawaini na kuwapenda ni wabovu kuliko na akijaribu kuangalia ndani ya wabunge alio baki nao nje ya baraza la meaziri ndi kundi la wabaya wake kuwapa uwaziri ni kujimaliza.

  Mr. Nundu katufungua macho kuwa wao wenyewe kama mawaziri, makatibu na watendaji hasa wa kuteuana hawaivi ni kwa sababu kila mtu ni mwizi anamwibia hadi meti wake.

  Ni wazi kuwa hata katika vikao vyao watakuwa wamesemana sana ila kwa kuwa wote walewale hakuna lililofanywa na Jk kutatua ndo kaamua kulirusha kwa watanzania tuamue. Hakuna mwenye kauli ndani ya chama kila mtu anaamua aonavyo
   
 2. M

  Moony JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mchawi mpe mwanao akulelee
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mapinduzi ya kweli yanahitajika, ccm wanatupeleka mputa sana
   
 4. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mazishi ya marehemu na hari ya tz kipi bora kwa jk wenzake huwa wanafuta kabisa yaani kumbe kujitoa mganga ni rahisi namna hii
   
Loading...