Tutampaje Jemadari wa kuongoza vijana kwenda Ikulu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutampaje Jemadari wa kuongoza vijana kwenda Ikulu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ileje, Apr 22, 2012.

 1. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Sasa tumepata yote kwa ujumla wake yalioyo moyoni kwa JK kuhusu hatma ya Tanzania.

  Wakati umefika tupate Jemadari wa kuikomboa nchi hii kutoka kwa mafisadi!
  Mafisadi wanaokingiwa kifua na Commander in Chief wa nchi hii!
  Commander in Chief ambaye hana huruma kabisa na wananchi wake wanaokabiliwa na umaskini wa kutupwa!
  Umaskini unaosababishwa na kuporwa kwa rasilimali zetu na vigogo wachache wakisaidiana na wawekezaji wa nje!
  Wawekezaji ambao wanatoa rushwa kubwa kwa vigogo hao ili wananchi tugandamizwe!

  Wananchi na hasa vijana sasa tuamke kufanya ukombozi wa kweli kulinda nchi yetu, watu wetu, rasilimali zetu!

  Haya shime vijana - wake kwa waume SHIME!
   
 2. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Davis Mwamunyange anaweza hii Kazi kama akiamua.
   
 3. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Hafai! Kwa kuwa hata akiwa na nia njema AU na UN watampinga na kutuwekea vikwazo hadi aondoke.

  Mtu mwingine ye yote anaweza kama walivyofanya Misri ilimradi JWTZ wasiingilie kati harakati za umma!
   
 4. S

  SokoroDar Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata nchi zingne mapinduzi ya kijeshi huwa hayafanywi na mkuu wa majeshi ,maana yeye ankuwa sehemu ya serikali , ila Captain ,Canali na wengine wa vyeo vya kawaida wenye influence wanaweza wakiamua
   
 5. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Vyama vya wafanyakazi kama TUGHE, TWICO ama TUCTA wanaweza kuanzisha maandamano. Siku hiyo inakuwa dala dala zote zina goma na hakuna mfanyakazi kwenda kazini.

  Inakuwa ni mikutano nchi nzima, Tanzania ni tajiri. Wafanyakazi wanaweza kulipwa mshahara kuanzia laki 5 na kuendelea.

  Hela nyingi sana zimeingia mifukoni kwa mafisadi kama Mawaziri, Rosti tamu, Rz moko, Shombo trillion 3 south Africa n.k

  Wafanyakazi amkeni, haki yenu inachukuliwa na mafisadi.

  Maandamano yaanze saa kumi na moja asb

  TUCTA is now useless, I declare
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  2kimtuma GODBLESS LEMA anaweza.
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  akishirikiana na T.Lissu, Mnyika, Zitto, V. Nyerere na Mdee kamanda wa kikosi ni Dr. W. Slaa
   
 8. l

  lubaga Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umenena
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Familia ya Mwamunyange haijaguswa na ugumu wa maisha, anatakiwa mjeshi ambaye familia yake imetaabika vyakutosha.
  Tukimpata mwenye roho ngumu hasa anayetokea Tarime au Meru itakuwa poa sana.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hali iliyopo sasahivi ni zaidi ya maandamano. Inatakiwa nguvu ya ziada, kwa maana ya kuasi serikali. Silaha zinatakiwa zitumike kuikomboa Tanzania
   
 11. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  JK sasa hivi yuko Malawi hana habari kabisa nini wabunge wetu wanakusudia! Dharau anayoonyesha JK kwa wapiga kura wake ni hamasa kwa wananchi kuchukua hatua mara moja!

  Haiwezekani Rais wa nchi kufanya nchi yake ni transit station kwa ajili ya kwenda nje kuhudhuria mazishi wakati kuna hoja kubwa ya kikatiba inajadiliwa bungeni!

  JK anatakiwa kung'olewa kwa aibu! JK si kiongozi wa wananchi kuwaondolea matatizo na kuwaendeleza kiuchumi! JK ni Comedy wa kisiasa!

  SHIME VIJANA WAKATI NI SASA!
   
Loading...