chanel ten live kipindi al rissala: mada-changamoto za mchakato wa katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chanel ten live kipindi al rissala: mada-changamoto za mchakato wa katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Listener, Apr 22, 2012.

 1. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ninachoshindwa kuelewa ni maelezo ya shekhe mataka kwani zaidiya silimia 50% ya maelezo yake ni kuingiza suala la mahakama ya kadhi ndani ya katiba. Kwa kuonyesha kuwa hawakujiandaa na majibu ya maswali toka kwa wananchi maswali mengi yameonekana kutakiwa kujibiwa na tume yenyewe. I hope ingekuwa vyema angekuwepo mjumbe wa tume kama majibu yao yanavyowataka wananchi.

  Kuna mpiga simu mmoja (Bwana Jackson) kapiga simu akiwa tofauti na maono ya waendesha kipindi lakini yaonekana amepokelewa negatively na waendesha kipindi.

  My take
  Nadhani kwa wakati huu elimu juu ya masuala ya katiba ingetolewa na watu au taasisi rasmi zilizo na mtazamo huru
   
Loading...