Mwenyekiti wa vijana CCM kata Kisesa ahamia chadema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa vijana CCM kata Kisesa ahamia chadema.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Apr 22, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kamanda Godbless Lema akiwa kwenye mikutano na uzinduzi wa matawi, Ndipo mwenyekiti wa Vijana CCM kata ya Kisesa Ndg Robert Mwanngwa akafanya maamzi sahihi ya kuhamia chadema.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Karibu zizini, ila hakikisha umenawa tongotongo zote za CCM, na uingie kwetu ukiwa msafi
   
 3. p

  pstar01884 Senior Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kata ya kisesa ipo wapi Crashwizo? Jimbo gani? Hahahaha Habari njema kwa UKOMBOZI MPYA.
   
 4. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Lema is now the count of monte cristo, safi sana!!
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Chadema ni safina ya kwenda kwenye uzima. Karibu sana ujiunge na makamanda wa ukweli.
   
 6. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Bora kawahi kutoka kuzimu na kuja peponi kabla siku ya kihama haijafika
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hao wa ngazi za shina, vijiji na kata ndiyo wenye mitaji ya watu.

  Hongera kwa makamanda walio mstari wa mbele.


  Mungu Ibariki Tanzania
  Mungu Ibariki CHADEMA

  Msako unaendelea
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mmmmh hapa lema Magamba watamkoma
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kisesa ni jimbo mkuu ambalo kwa sasa lipo mkoa wa Simiyu.
   
 10. L

  LOMAYANN JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,164
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Vip wale madiwani wa 4 wa sengerema pamoja na wenyeviti 21 aliokuwa Lema awapokee jana ilikuaje kamanda mbona kimya mno huku A. TOWN tunamfuatilia sana kamanda wetu.
   
 11. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,091
  Likes Received: 10,449
  Trophy Points: 280
  inafurahisha sana hongereni makamnda wetu na karibuni kundini.
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Saa ya ukombozi hii dhidi ya makupe hakuna kurudi nyuma
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Kisesa ni wapi huko mkuu ... usikute CDM wameshaingia mpaka Rwanda
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  na wana chama wengi wamerudisha kadi za magamba na kujiunga na CDM...
   
 15. T

  Tenths Senior Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hongera sana new kamanda karibu. Peoples power.....
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mwanza..............
   
 17. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Mmomonyoko wa udongo, hii topic nakumbuka tulisoma kwenye jiografia, now I can see how applicable it is in the political medani...:target:
   
 18. D

  Deofm JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hatua nzuri, hata wabunge wakitaka kuhamia waambie wakate shauri, hakuna watakachopoteza. Kuhamia CDM ni sawa na mbegu hai kuanguka katika udongo mzuri wenye mbolea na maji ya kutosha ambapo itaota na kuzaa matuda mengi yenye mbegu nyingi, lakini kubaki huko kwenye gamba mbegu itaozea ndani ya gamba na hatakuwa na faida yoyote.
   
 19. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dah! Mkoa wa Simiyu uko wapi au ulikuwa ndani ya mkoa gani kabla?
   
 20. L

  LOMAYANN JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,164
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Wale maiwani 4 na wenyeviti 21 vip kamanda au bado wanatafakazi uamuzi mgumu
   
Loading...