Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu majuz naskia habar za wafuasi na viongoz wa ccm wakijiunga na chadema. Jana zaid ya 2000, leo zaid ya elf 3. Kesho na keshokutwa.....graf itazd kukua kwani imeanza elf 2 na inaendelea.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa ya habari Star TV Mchungaji amwomba JK awafukuze na warudishe pesa ! Kazi ipo hata Mtemvu Naye anataka wajiuzulu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Akihutubia maelfu katika viwanja vya SAHARA jijini MWANZA Dr. Slaa kasema anawapongeaza wabunge wote waliotia saini ya kutokuwa na imani na waziri mkuu,kwani pesa iliyopotea ilikuwa chini ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa kuwa mimi si muumini wa chama cha siasa lakini naipenda siasa.Tabia ya mawaziri wa CCM kutunisha misuli ya kutotaka kujiuzuru hata kama wanaboronga na kuipeleka nchi yetu katika maisha duni...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Wakuu,kuna mbunge yeyote aliyemo ktk kamati inayoongozwa na mh Zitto ambaye hajasaini karatasi hiyo? Deo filikunjombe tayari kashaonyesha anavoweza kusimamia na kutetea anachoamini. Mzee wangu...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
waziri wa uchukuzi amesema hawezi kujiuzulu wadhifa wake maana haoni sababu za kufanya hvyo .aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari mjini dodoma.chanzo channel ten habari
0 Reactions
2 Replies
932 Views
“Watanzania wanapaswa kujuta kwa kumchagua Rais Kikwete na CCM, nchi inamuelemea, mfumuko wa bei umeongezeka, maisha ya Mtanzania sasa ni hoi bin taaban. Haya ni majuto,” alisema Dr Slaa. Katika...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
waziri nundu amewagomea wabunge wake wa ccm waliomshinikiza ajiuzuru ktk kikao cha party caucase kilichofanyika juzi usiku huko dodoma.
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Kwanza kabisa nasikitika sana kusikia kauli za Jakaya Kikwete ati ni upepo tu utapita kwa maana hiyo anawafanya Mawaziri wake watembee kifua mbele.Hii sasa moja kwa moja inadhihirisha kuwa Jakaya...
0 Reactions
1 Replies
836 Views
kesho ndio kesho masikio ye2 sote ni dodoma pale mjengoni je waziri mkuu atasema nii?.tuna dhani hata watakopojiuzulu ndio suluhisho pekee?.naeza sema ni sawa nakujaza upepo kwenye tairi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkuu salaam. Naamini yote yanayoendelea katika nchi yetu hususan mambo mazito yaliyoibuliwa au kutokea hivi karibuni na mijadala mbali mbali kuibuka Bungeni na mitaani yamefika Ofisini kwako. Mkuu...
1 Reactions
0 Replies
926 Views
kuna maandamano makubwa sana katika barabara ya airport Mwanza watu ambao asilimia kubwa ni vijana wanaandamana huku wakilisukuma gari la Dr Slaa kuelekea airport.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele, Nimekuwa nikiisoma Ripoti ya Serikali ya Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za Serikali ya mwaka wa fedha uliopita (2010/2011) yenye kurusa 216 na nimekuwa pia nikiilinganisha na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hikiwa ni siku nying zimepita pale miccm hilopochukua ujiko n.k kwenye msiba wa kanumba, kwakutoa mi ahadi kibao tukianza na m/kit wao kikwete mil 10, nchimbi n.k, habari toka ndani kabisa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nlikua napita maeneo ya tengeru mda si mrefu kuna askari wanapiga mabomu......nlivyouliza naambiwa ni wameru wamevamia mashamba sasa sijui ni yapi ya mtei au yale ya wawezekaji........kama ni haya...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Waziri Nundu amesema hawezi kujiuzulu. Nini kitatokea?
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Hali si shwari ndani ya serikali ya Kikwete. Nasikia mawaziri wachafu wesha vishwa ngao ya kutoenguliwa wizarani. CAG anayajua madudu mengi serikalini, na hii serikali ni ya maharamia zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Waziri mkuu afanye uwajibikaji akubali kujiuzulu kitendo cha kusubiri kura ni aibu na upeo mdogo wa kuwa mwanasiasa mwenye heshima,kunaviongozi walio kubari kujiuzuru bila wao kuhusika moja kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge mteule wa A.Mashariki Makongoro Nyerere amesema kura za wabunge wa CDM ndizo zilimfanya kushinda ubunge huo.Makongoro amesema wagombea wenzake kupitia CCM walitishia ushindi wake kutokana...
17 Reactions
82 Replies
9K Views
Imebaki masaa Machache sana watanzania uhuru wetu na mali yetu tunayo dhulumiwa na wachache itaenda kurudi mikononi mwetu. Wao wana jeshi,silaha nzito na kila aina ya ulinzi ila sisi tunaye Mungu...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Back
Top Bottom