G75 Member Hon. Zitto on ITV Kumekucha kesho asubuhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

G75 Member Hon. Zitto on ITV Kumekucha kesho asubuhi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sr. Magdalena, Apr 24, 2012.

 1. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  From Zitto's tweeter page:-

  Kesho Jumatano, Alfajiri, ntakuwa ITV kumekucha kuhusu
  Hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu. #sahihi70 #G75 #OperesheniUwajibikaji.

  My take:-
  Naona sasa mapambano yamehamia nje ya Bunge, way to go G75
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  1. Hakuna kulala mpaka kieleweke-Mbowe
  2.Huu si upepo ni kimbunga lazima kiondoke na bati(Waziri mkuu)-Sugu
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Lema upo wapi..anzisha za rodini chalii angau..
   
 4. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,720
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  strategy nzuri...naamini italipa,

  CCM wamerudia kosa walilofanya sometimes back la kuzima hoja ya Buzwagi kwa kumfukuza Zitto bungeni, leo tunashuhudia kuwa tukio lile lilikuwa ni defining moment katika kupeleka mbele siasa za upinzani, nadhani kwa utumbo waliofanya juzi wa kujaribu kusogeza mbele anguko la mawaziri gharama yake itakuwa ni kubwa mno...b'se naamini Pinda atang'oka in June na hao mawaziri hawatosalimika.

  CDM waendelee kupiga pressure...muda si mrefu tutaona matunda yake.
   
 5. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Zitto tuko nyuma watz ambao tumepigika. Usihofu kwa lolote lile.
   
 6. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Strategy za M4C nazikubali sana. Zitto anaipeleka serikali puta na Sahihi70-uwajibikaji Slaa na Lema wanaharibu hali ya hewa mikoani Mbowe yupo kwenye rada anaratibu mazoezi yote Wakati Magamba mwenyekiti wao analala kwenye msiba ambao hata raisi aliyepo (Malawi) hauthamini
   
 7. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  tukijumlisha na maandamano kila kijiji! Pataeleweka tu.
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Pamoja sana kamanda!!
   
 9. s

  sheky Senior Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Iwe iwavyo ni wakti wa kwenda mbele. Ni wakati wa kuelimisha jamii iliyolala, ni wakati wa kuondoa kiza na matongotongo kwa wasioona. Vita mbele, be it sun or rainy it will be conquered. kila la kheri Zito. Usiache toa wito ni wakati wa Mtanzania mmoja mmoja kuiambia nafsi yake ni saa ya kujikomboa na kuanza mipango iwe maandamano, sahihi ama hatua yoyote inayoonesha kuchoka.
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Walisema Zitto anatumiwa na ccm. Yawezekana kweli anatumiwa na ccm wapenda mageuzi
   
 11. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Thanks
   
 12. M

  Mwanandani Senior Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kamanda zito tupo nyuma yako.ukisikia kimenuka nitafute mstari wambele utanikuta.
   
 13. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,137
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  may b freedom is coming tomorrow...viva m4c
   
 14. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,137
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  na inaonyesha saiv wanamtumia vizur kwel
   
Loading...