Mkuu wa Kaya waondoe mawaziri wezi kabla hawajaumbuka kwenye bunge la bajeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa Kaya waondoe mawaziri wezi kabla hawajaumbuka kwenye bunge la bajeti

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Hunter, Apr 25, 2012.

 1. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Chief, Daktari, mchumi, Mtalii bwana JK, kale ka upepo ndo kanamalizia kupita kama ulivyotabiri, niwazi hupendi mashinikizo katika uongozi wako, hupendi kuambiwa wala kushurutishwa, mgomo wa madaktari ulipoanza ulikimbilia nje ya nchi kana kwamba huna habari, yaliyotokea bungeni juzi nayo hukujali sana zaidi ulikimbilia kuzika malawi.
  Naamini kwa kiburi chako ulichojaliwa utaamua ama kubadili baraza la mawaziri kwa kuwarotate hawa waliopo na kuwatoa wachache kama kuwapumbaza wadanganyika,
  Amini uhuni ama ujanja ujanja utakao fanya utaumbuka muda wa kupitisha bajeti utakapo wadia, kale ka upepo katakuwa tufani na mawaziri wezi watajuta kwani watadhalilika kuliko unavyofikiri.
  Wahurumie rafiki zako hao, wape balozi ama kurugenzi wakapumzike kama ilivyojadi yako ya kuwalinda wezi wa mali za umma.
  Otherwise subiri ushuhudie machungu na hasira ambazo zitaonyeshwa kuanzia kwa wabunge wa chama chako mpaka wale wa upinzani
   
Loading...