Ratiba ya hukumu kesi za ubunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ratiba ya hukumu kesi za ubunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwana Mpotevu, Apr 24, 2012.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Wana JF

  Baada ya Mtoto wa Mkulima na waziri mkubwa Pinda kulihujumu taifa kwa kushindwa kutupa kile tulichokitarajia wakati akiahirisha mkutano wa Bunge Idodomya, nakuja hapa na ombi maalum.

  Naomba yoyote mwenye ratiba ya hukumu ya kesi za ubunge kama vile Segerea, Ubungo, Singida, sumbawanga na kokote kule ambako kumekuwa na kesi ya kupinga matokeo ya ubunge baada ya uchaguzi wa 2010, basi atuwekee hapa ili tuweze kufuatilia kwa kina matokeo ya kesi hizo na kuweza kuwa na kumbukumbu halisi.

  Naamini kwamba kesi hizo zinaweza walau kutupa ahueni wale wote tunaoitakia mema nchi yetu na wale tulioumizwa na uamuzi wa serikali ya JK kulindana na kushindwa kuwajibishana kwa manufaa ya taifa.

  nawasilisha
   
 2. gollocko

  gollocko JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 2,830
  Likes Received: 1,544
  Trophy Points: 280
  Ni kujipa moyo tu
   
 3. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tundu Lissu ni 27 April 2012 kama sijakosea.
   
 4. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Segerea (Mpendazoe Vs Mahanga) ni May 2, 2012.
   
 5. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  asante mkuu nitazikuzanya zote niziweke hapo juu ili iwe rahisi kwa kila mmoja kuziona na kufuatilia

   
 6. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  asante kiongozi
   
 7. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sumbawanga ni 30-04-2012.
   
 8. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  kumbe hii April ina hukumu mbili?? sumbawanga na singida? ubarikiwe na tuombe Mungu alete ukombozi na matumaini mapya kupitia kesi hizi
   
 9. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  mkuu kesi hizi zinaweza kusaidia kuamsha upya serikali na viongozi wake kujua hasira za wananchi. mfano kama sumbawanga ccm ikipoteza jimbo na uchaguzi ukija upinzani ukitwa jimbo, huoni kama ccm inaweza kupata fundisho jingine hapa baada ya kushindwa kujifunza kutoka kilichokuwepo bungeni?
   
 10. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ubungo mambo yako hivi:-
  Jaji Msuya alisema Aprili 27, mwaka huu upande wa mdai na wadaiwa wanatakiwa kuwasilisha hoja za majumuisho ya mwisho ya kesi hiyo kabla ya kupanga tarehe ya hukumu.

  Source:- Habari Leo.
  Bila shaka nimemaliza Assignment ndugu.
   
 11. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  aaahahahaha umejitahidi kuifanya kwa ufanisi, u deserve a B+
   
 12. T

  Tejai Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kesi ya opurukwa mb meatu hukumu ni tarehe 4.5.2012
   
 13. r

  richone Senior Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mimi hukumu yangu dhidi ya aliyekuwa anagombea udiwani wa CCm ni kesho
   
 14. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Hukumu ya Kigoma Mjini Serukamba na CHADEMA ni lini?Maana sijaona kwenye ratiba yeyote ile!
   
 15. S

  Sobangeja Senior Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Serukamba ilishaamliwa.alishinda kesi.
   
 16. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Nasikia Mahanga ameanza kuandaa mazingira ya kushangilia ushindi!!!
   
 17. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii kesi ipo upande gani umelalia? nipe kamanda
   
 18. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kuna ukweli hakuna ubishi but kama kuna KUCHAKACHUA! mjue wazi TUMEANZA NA MUNGU NA PIA TUTAIHITIMISHA NAE PIA
   
 19. k

  kalakata Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama watahukumu kwa haki basi imekula kwa CCM ila magamba walivyokuwa washe***** sidhan kama M4C tutakuwa na chetu, cause hata msimamizi wa uchaguzi ametoa ushahidi kuwa alilazimishwa kumtangaza mshindi na bosi wake ambaye hakumtaja ila mshindi sahihi ni peoooooplessssss powerrrrrrrr!!!!!
   
 20. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kati ya Ndg Aeshi Hiraly CCM na Ndg Noberth Yamsebo aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA (Mlalamikaji).
   
Loading...