JE WAJUWA YUPO WAKUMUAJIBISHA J. Kikwete? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JE WAJUWA YUPO WAKUMUAJIBISHA J. Kikwete?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TumainiEl, Apr 25, 2012.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Nikukosa umakini na kutokuwa na uchungu na taifa hili, ila Jaji mkuu anauwezo wakumshitaki rais, pindi anaona Rais analiendesha taifa pasipo kujali sheria. Nilazima tujuwe, urafiki, ukaribu ndio stail ya serikali ya Kikwete na ndio maana uwajibikaji ni mdogo, ingawa sisi watanzania tumenyamaza nilazima tujuwe uwenda atakuwa Rais wakwanza ktk Historia ya taifa hili kusimamishwa kizimbani ikiwa atatokea jaji smart na mwenye kujuwa kile Rais anapaswa kukifanya. Huu ni upepo wa sunami wakutaka mabadiliko ktk taifa hili, watanzania watapanga misururu mirefu kuhakikisha wana ing'oa serikal yao just kwa ububu wa mkuu wa nchi. Hayati baba wa taifa aliwah kusema ikiwa hakimu anapigiwa kelele na wananchi anahukumu kes ndivyo sivyo mtasubir mpaka ushaidi? Kwanin msimng'oe? Rais J.k amekuwa mtu wakupenda ushaidi sana wakati watanzania wanateseka na kunyonywa je anamanisha nini? "Ndugu watanzania mtanikumbuka" Rais Benjamin Mkapa
   
 2. w

  wamwala Senior Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni jambo gumu sana kwa majaji wetu hawa walioshiba Umagamba kusema wamwajibishe JK. Hukumu nyingi sana Tz zinatawaliwa na Umagamba unafikiri inawezekana kweli. Soln ni kusonga front na kudai haki zetu basi
   
Loading...