Pinda akana kauli yake kuwa hakusema J3 angetoa maamuzi

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source ITV

Filikunjombe amedai amemshangaa waziri mkuu kuwa amesema wananchi wamemwelewa vibaya kauli yake kuwa jumatatu angetoa uwamuzi wa mawaziri wake

Na anadai waziri mkuu kasema yeye hamutoa kauli kama hiyo na alitaka mda ili asome then atawafahamisha vzr wadanganyika na hana mamlaka ya kuwawajibisha mawaziri
 
Tumelaaniwa? Wmkuu kila mara anasema uongo!
Yaani nchi yetu km ya kusadikika vile.
 
Yaan bado mnapoteza muda na huyo Mzee Pinda!! Kama ushahidi wa video na sauti upo lakini anaweza kupinga! Je hayo mengine.... In short hawezi kuwa na jipya huyo. Yeye angoje ile political tsunami aliyoisikia bungeni, kwan kuna architects wako jikoni
 
Nakumbuka kipindi kileee Lema aliposema Pinda kasema uongo!!!Sikutegemea angesahau na kudanganya tena !!!!
 
Ameshachanganyikiwa hajui kesho yake ni nini ataongea mengi sana maskini mtoto wa mkulima
 
Dawa ya Pinda ni kwenda na mafuriko tu halafu JK tutapima kwanza kwa deep kuona kama maji yanavukika.
 
Jamani Pinda ni mwongo, popote atakapohutubia watanzania tumpe ukweli kuwa kila anachokisema ni uongo.

PINDA NI MWONGO
 
kibinadamu tunamwelewa japo hakuna sababu ya kumhurumia Mh Pinda,yuko njia panda maana Mawaziri mafisadi na wenza wao wanamuona yeye ni ***** tu na Dr Jakaya Mrisho Kikwete hampi msaada wowote.Nina hakika hata Mamayeyoo hamwelewi elewi pia.poor old man!
 
Sijawah kisikia akifanya maamuz ye kulalamika ,michakato .hana tamko lakushikika zaidi ya lile la albino
 
Dawa ya Pinda ni kwenda na mafuriko tu halafu JK tutapima kwanza kwa deep kuona kama maji yanavukika.

Pinda anaweza kutoka na nadhani itakuwa vyema akitoka ili serikali ipangwe upya, JK hatumwogopi wala hana nguvu yeyote ya kuzuia lolote lakini kwa sasa tutamwacha kwa mustakabali wa nchi hii na siku sijazo. Anachotakiwa aache dharau na afanye mabadiliko yanayotakiwa tena kwa wakati maana hii sio ni nchi yake ni yetu sisi wananchi wenye uchungu na nchi hii. Taifa hili sio la wahuni fulani wanaofikiria tu kuiba wakiwa hata hawajuia nini cha kufanya na hela wanazoiba zaidi ya kuwanununulia tu watoto magari na kujenga majumba makubwa ya kuishi.., wao wamekuwa tembo???
 
Sikuona uhusiano wowote wa maana wa kile alichokuwa akisoma na kile kilichokuwa kinahitimishwa muda ule pale mjengoni
 
Pinda hana kumbukumbu hivyo kudhihirisha ule usemi kuwa ukiwa muongo basi uwe na Kumbukumbu .....Ila Pinda Daima ni Muongo .......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom