Chadema ni lini mtawachukulia hatua ma-radicals ndani ya chama chenu kama ANC walivyofanya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema ni lini mtawachukulia hatua ma-radicals ndani ya chama chenu kama ANC walivyofanya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ben Saanane, Apr 4, 2012.

 1. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Julius Malema amefukuzwa tena ndani ya chama chake kwa kumuita Jacob Zuma Dikteta.Nilmeshaandika sana hapa kuhusu vijana ndani ya chadema wanaonyesha misimamo yao binafsi huku wakikosoa vikali viongozi wao wa juu.

  Igeni ujasiri wa ANC kumchukulia hatua Julius Malema anayetishia kukigawa chama na Taifa kwa siasa zake.Nileta sred kuhusu akina Ben saanane,akina Zitto,bashe na kundi lao lakini ikafungwa na matusi juu.

  Angalia status ya Ben Saanane leo facebook !


  "Another Suspension for Julius Malema. the ANC Disciplinary comittee's ruling reflects a leadership of dwarfs around a dictator.Another sad Day for African Youths who are determine to Liberate the continent from imperialism and their Puppets. A typical example of supression youths vigour,they dont want to listen to youths oponions.Yes,Zuma ni dikteta na msaliti mkubwa wa Bara la Africa"
   
 2. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Hawana ubavu huo.

  Wamesalimu amri kwa Shibuda na sasa wanaogopa hata kutaja jina lake.
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Hiyo hatari unayoiongelea kila siku kuhusu Zitto, Bashe, Ben, ni hatari gani Watanzania sio watu wa kishikiwa akili wana maamuzi yao! Sasa unasema hatari halafu unaweka picha za wanawake tunashindwa kukuelewa.
   
 4. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu malema anarepresent watu wa hali ya chini kabisa na wale masikini, niliwahi kwenda mpumalanga kwa wakati fulani nilishangaa sana kuona tofauti kubwa na ya aina yake kati ya wadau wa joburg na maeneo yale. watu wengi nilioongea nao walionekana kumsupport sana malema na kulaumu hali ngumu na tofauti kubwa kati ya walionacho na wasio nacho.

  Mkuu labda ulikuwa una maana nyingine lakini case ya malema ni another issue, ZUMA ni moja wa matajiri wakubwa sasa Africa ya kusini na anamiliki makampuni makubwa makubwa na hiyo ndio moja ya concern ya malema.

  Mwisho: Zitto hachafuliwi kwa gharama ndogo hivyo anaendelea kuwa mtu muhimu na ninamsupport ingawa siisupport CDM

  Mkuu kuwa makini na fuatilia mambo kwa undani.
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Hivi Bashe kumbe yupo Chadema.
   
 6. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Magamba out of work................and ideas
   
 8. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Endelea na kazi ya kuchafua watu.Niko huru kutoa mawazo yangu na wewe/ninyi mko huru kunifuatilia na kutoa mawazo yenu.

  Yes,The current leaders of ANC are a bunch of weaklings Seriously.How can this be a temporary suspension again? Pathetic show of just how little actual leadership there are in the top brass of the party.If they cannot see now that he will never have respect for them they are truly a special bunch.

  Typicall Zuma supporters, i have warned of an illiterate president, and this is what you get.Why cant he discipline the fired ministers who stole their tax money? what did this Guy steal from them? why appoint an inquiry for someone who is corrupt, the president himself is under investigation.

  This is llaughable and when he leaves power, he is going straight to jail. I foresee disaster in the coming months. He is going to spend most time in court than ever before. If he losses in mangaung and hence they strategised around the nomination of candidate to be opened in october

  Hivi kama Julius Malema ataamua kuwa karibu na akian Mbalula kwenye vikao vingi vya kahawa na akatumia mwanya huo kuonekana nao in public kutoa mawazo haya haya wanayomzuia kuyatoa itakuwaje?ANC watakuwa wamefanya nini?

  Hii hofu ya watawala dhaifu kwa vijana wanaotoa mawazo yao na kutoyavumilia si ndiyo udikteta wenyewe?Akina Jacob Zuma wanaharibu Legacy ya ANC kama alama ya ukombozi barani Afrika na kielelezo chja kupinga ubeberu na ukoloni mambo leo kwa maslahi binafsi. Jacob Zuma aliyeongoza kundi la wasaliti dhidi ya mwanamapinduzi Muammar Ghaddafi siwezi kumuheshimu kwa lolote lile.Zuma anaharibu legacy waliyoacha akina Mandela na comrade Thabo Mbeki. By the way,yale aliyokuwa anasiamami Julius Malema ANC mbona haijayasema?Kutaifisha migodi,kuangalia upya sera ya uwekezaji na ajira mbona ANC wameyakalia kimya na wewe hutaki kuhoji.Dhana ya "utovu wa nidhamu" mbona ni mwendelezo wa sera za kikaburu za enzi zile za Apartheid against Oliver Tambo,Nelson Mandela,Steve Biko na akina Walter Sisulu?Walimuita Mandela Terrorist leo ANC ya akina "traitor" Zuma wanaita sauti ya vijana Utovu wa nidhamu.Loh,Hillarious.Kisingizio cha kugawa taifa au chama ni silly excuse.JuJU angesaidiwa na wangetekeleza madai ya Vijana.Juju anaweza kuwa na mapungufu yake lakini hizi measures walizochukua ANC ni hatua za cowards and actually that's how most political traitors do whenever they are cornerd !

  Uongozi huu wa ANC umechanganya watu katika maamuzi ya dharura kila mara.Imekuwa sasa African National Confusion. If the NDC had effected the 'suspended' automatic suspension from the very first disciplinary hearing things would not have come to this. JuJu should have been barred from all ANC activities pending the outcome of his latest appeal. If the ANC can't get such a simple process right how can we trust them with running the country(Giant of Africa economically,an important member in BRICS block?

  African National Congress needs fresh people to lead the party and restore the legacy and their pride as anti-imperialism political party in Africa.Je kama changamoto ndogo kama hizi zimewashinda akina Zuma na viongozi wenzake itakuaje au tutawaamini vipi wakipewa kiti cha kudumu katika baraza la Usalama la UN kwa upande wa Africa?
   
 9. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
 10. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,286
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Bw Ben,
  Unaweza kuwa na mawazo mazuri sana, lakini unapoimba sana ujana, nashindwa kukutofautisha na wale wanaoimba kuwa CDM ni chama cha wachaga. Tunachotaka ni ukombozi. Ukiletwa na vijana, sawa. Ubaguzi wa aina yoyote kwenye jamii ni sumu.
   
 11. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  @ Nuclear1,mkuu kosa la ben lipi hapo?,matatizo yako binafsi usiyalete humu,hayo majanga unayodai ungetumia nguvu hizi kupambana na mafisadi ungesaidia kuelemisha jamii.unachuki na vijana, kibaya zaidi vijana wapambanaji,hautafanikiwa kamwe!!!
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  What? red marked words
   
 13. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Gagnija,

  Asante lakini Sina ubaguzi kama unavyosema,nikiongelea kuhusu changamoto zinazowakabili vijana ni ubaguzi?je nikisema vijana ni kundi muhimu kisiasa,kiuchumi na kijamii katika kuleta mageuzi katika nyanja hizo tatu nilizotaja ni ubaguzi?
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,769
  Trophy Points: 280
  ANC waki-support ushoga utasema na sisi tu-support.
  Hizi comparative analysis zikifanyika kwa narrow mind hatutafika popote.
   
 15. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mkuu Daudi Mchambuzi,

  Siasa za kuiga,tena kuiga vibaya ndizo zilizotufikisha hapa tulipo kama Taifa.CCM wanaiga vibaya sera na misimamo ya wengine na kutufanya sasa tukaribie kuwa Banana Republic.Ni jambo la ajabu kukuta kijana anayejiita msomi kushabikia mambo kama haya
   
 16. T

  Tata JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Huwezi kumchukulia hatua mtu kwa sababu tu unatofautiana naye mtazamo kuhusu jambo ambalo sio la msingi kwa maslahi mapana ya taifa na ya chama. Sidhani kuwa itakuwa sahihi kwa CHADEMA kuwachukulia hatua hao uliowataja kwa sababu tu ANC wamemchukulia hatua kiongozi wao wa wing ya Vijana. Kimsingi huo utakuwa ni utaahira wa hali ya juu.
   
 17. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa Lusinde ningemtukana matusi ya nguoni huyu Nuclear
   
 18. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Ben and Nuclear 1, can you please meet some where and have a cup of coffee and get your case sorted out?
   
 19. T

  Tata JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Ukisema hivyo hujakuwa mbaguzi bali umeelezea ukweli wote. Anayedhani kuwa huo ni ubaguzi ana matatizo makubwa
  ya uelewa na anahitaji msaada wa ufafanuzi ili aelewe umuhimu wa kundi hili kama likitumiwa vyema kama chachu ya mageuzi ya kweli nchini katika nyanja ulizoorodhesha hapo juu.
   
 20. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Ben lakini mwisho wa siku nilazima tukubaliane kwamba Kama mtu analeta chokochoko kwenye CHAMA kiasi cha kutaka kukiparanganisha ni uamuzi wa busara sana kumtupa nje. Kila siku tunawabeza CCM kwa kushindwa kuwashughulikia watu ambao wamekitikisa chama hicho na mpaka sasa wako ndani ya Chama.

  Chadema wamefanya hivyo about two times, recently ni kwa wale madiwani wa Arusha.

  NCCR wamefanya hivyo, na sasa wako settled,hata kama ni publicly.

  Why not ANC,

  Kama Malema ana agenda ya Msingi atafute namna ya kuipresent kwa waafrica kusini, sio lazima afanye hivyo akiwa ANC, Mbona CHADEMA wanatoka Bungeni kila siku na wanakuja kupresent cases zao kwa wananchi na wanaeleweka vizuri zaidi kiasi cha kwamba Bunge linalazimika kula matapishi yake.

  Ifikie wakati tukubaliane pia, hata kama wanakosea, Bado wazee wanahaki ya kuheshimiwa.
   
Loading...