vijana tutafute kauli mbiu kuelekea 2015

ZEE BABA

Senior Member
Jan 19, 2011
169
59
Nawaomba watanzania wenzangu hasa vijana ,tutafute kauli mbiu ya kutupeleka 2015 .Tujaribu kuchunguza matatizo ya nchi yetu kwa ujumla ili tutafute suluhisho la kudumu,binafsi nafikilia kwanza tufikilie namna ya kuhamasishana ili kwanza watu wengi wajiandikishe pili watu wengi wakapige kura.KURA inaumuhimu mkubwa sana katika kuleta mabadiliko .Ndugu zangu hii serikali tusidanganyane na huu mfumo wa hii nchi tutaishia kulaumu tu,la muhimu tupige kura na tuzilinde kura zetu ,tutoe adhabu kali kwa yeyote atakaye gombea chochote kupitia MAGAMBA na adhabu hii ni kuwanyima kura.
2015 si mbali tutafute kauli mbiu za kuhamasishana ili tujetufanye maamuzi ya busara.
 
mkuu 2015 mbali sana!unajua wakati jk anaingia 2005 gas oryx kg 15 ilikua sh 18000 leo sh 58000
 
Back
Top Bottom