Zitto: Tunaendelea na hoja yetu ya kura ya kutokuwa na imani (ITV) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto: Tunaendelea na hoja yetu ya kura ya kutokuwa na imani (ITV)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGOWILE, Apr 25, 2012.

 1. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Anazungumzia maswala ya umeme.
  [video=youtube_share;o1AHLXdYVzM]http://youtu.be/o1AHLXdYVzM[/video]​
   
 2. Jean chill

  Jean chill Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Epsode nyingine tena? Ile ya mawaziri
  kuwajibika imeishia wapi?
   
 3. b

  busar JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Wanazuga, mbona hawaongelei ya 75 MPs?
   
 4. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Ndio anaongelea suala la saini 75, tayari hoja iko kwa spika na msimamo wao ni ule ule, hataki kuzungumzia suala la urais 2015
   
 5. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Jamani ZZK ni kichwa jamaa wamepiga maswali maswali mpaka wameblow, wamemuomba j5 ijayo arudi tena ila amesema anaenda jimboni kwanza kwa hiyo wawasiliane.
   
 6. kg4sure

  kg4sure Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 15
  Kijana mkalii
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Amesema hajatumwa na JK kuwasilisha hoja ya kutokuwa na imani na PM kwa kuwa JK ana uwezo wa kuwawajinisha mawaziri moja kwa moja! Ametumwa na "mwangwi" wa wananchi. Pia amedai kwamba PM ameshindwa kuzungumzia suala la kuwawajibisha mawaziri kwa kuwa hana mamlaka ya kwawajibisha. Hiyo kauli ameipata kwa PM mwenyewe!
   
 8. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Cancer hii hii ni balaa mgonjwa anatakiwa kukatwa shingo ili apone. Maisha bora kwa kila mtanzania ndo haya JK ametuletea.
   
 9. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kila la kheri kwao
   
 10. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  weka link tumsikilize maana ndio waziri kivuli
   
 11. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Updates please!
   
 12. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uko juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Zitto Zuberi Kabwe
   
 13. N

  Ntuya Senior Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zito Kabwe, pambana mpaka kieleweke, una ful support ya cc wananchi, worry not.
   
 14. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kila la kheri mpambanaji.
   
 15. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Zito ni mjasiriamali hana lolote anataft hela tuu mtosenib
   
Loading...