Hizi ni deals za Maige? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi ni deals za Maige?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamayu, Apr 25, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Simba moja jeupe linauzwa USD 50,000.00 kwenye black market, ukiuza 20 tu unakuwa na USD 1,000,000.00. Kama kila mwaka unauza 20 mpaka phase ya Rais aliyekuteua kuwa waziri bila kufanya reshuffle inakwisha unakuwa na USD 10,000,000.00

  [video]http://cnn.com/video/?/video/international/2012/04/04/inside-middle-east-big-cats-status.cnn[/video]!!
   
 2. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,847
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Huyu Bwana alitoa Misaada ya maendeleo Kwenye Jimbo lake Yenye Thamani ya TZS 500,000,000/- Hakuna aliyemuuliza kazitoa wapi? Lol!! Nchi Yangu Tanzania!!
   
 3. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Anatakiwa kunyongwa......mawaziri wengi ni wezi wakubwa
   
 4. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,865
  Likes Received: 2,802
  Trophy Points: 280
  Pole pole wakuu mwishowe tutasema Wasukuma hatutakiwi kwenye uwaziri?! Kama huyu akinyongwa basi serikali yote iloko madarakani inyongwe, tukianza na Mk.were akifuatiwa na Mazengo Punda!
   
 5. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Maige na Lembali wapo halmashauri moja ya kahama
   
Loading...