Mwantumu Mahiza, ana nini? Anasogezwa ikulu japo tulimkataa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwantumu Mahiza, ana nini? Anasogezwa ikulu japo tulimkataa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 24, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Huyu mama na wakina John Bendela, Bulihani nk tuliwakataa katika boxi la uchaguzi ila wamependwa zaidi na JK.

  Huyu leo nimmsikia naibu mkuu wa mkoa wa Dsm anaumuhimu gani ndani ya taifa hili nakumbuka alikuwa wizara ya elimu akavurunda, jimboni kwake badala ya kupeleka maendeleo akapeleka kwenye mifugo yake akapigwa chini, nikashangaa akawa mkuu wa mkoa wa Pwani sijui imekuwaje na huko leo yuko Dsm anasogezwa tuuuuuuu.........

  Kuna usiri gani hapa????? Na ananyodo kweli
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Wivu ni jadi yenu wabongo!
  Umekosa kashfa umebakia ANA NYODO!
   
 3. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Taratibu Mkuu, hakuna cheo kinachoitwa Naibu Mkuu wa Mkoa nchi hii.

  .......................Hivi leo matokeo ngapi ngapi?
   
 4. K

  Koffie JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  dogo wacha wivu wewe. kalale usiku umekuchwa!!
   
 5. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sasa wewe umeamua kuwa mbishi. Hata mimi nimeona kwenye taarifa ya habari nikashangaa huyu maza vipi tena ndani ya Dar!
   
 6. G

  Gloria Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2007
  Messages: 60
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15

  Too low
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nimeshtuka nikadhani we dr uko milembe, faili tena?
   
 8. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Usitumie masabuli kufikiri
   
 9. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Anafanya nini Dar?
  Ni "Naibu" Mkuu wa Mkoa wa Dar?

  Hoja yangu ni kutokuwepo kwa Cheo cha Naibu Mkuu wa Mkoa. Angalia vizuri post yangu uliyoirejea.
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Hamna cheo cha naibu mkuu wa mkoa ktk serikal ya jmt.
   
 11. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Atakuwa ni Kaimu, sio naibu.
  Huenda Mecky Sadick kasafiri.
  Mara nyingi wakuu wa mikoa jirani hukaimu wenzao wasipokuwepo, au mara nyingne mkuu wa wilaya ndani ya mkoa huweza kukaimu.
  Hakuna cheo cha naibu mkuu wa mkoa.
  Hayo ya kusogezwa ikulu siyajui, ila sidhani km kukaimu Dar tu ndo kunamaanisha kusogezwa Ikulu!
   
 12. A

  Apeche Alolo Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwnye Habar wamesema n kaim mkuu wa Mkoa wa dar, xaxa Cjui hicho cheo kimetoka wap
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  we una wasiwasi gani mbona 2015 sio mbali.
   
 14. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kama ni Kamimu (Si naibu) ni kawaida. Mkuu wa Mkoa anapokuwa hayupo, ama mmoja wa Wakuu wa Wilaya ama Mkuu wa Mkoa Jirani anakaimu.
   
 15. Kobaba

  Kobaba JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Sio naibu mkuu wa mkoa! Badala anaeza kuwa ni KAIMU MKUU WA MKOA
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Huyu mama ni Hajjat. Anamcha Allah kuliko hata Mungu aliyemuumba
   
 17. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Ni kweli amzungumza TBC, but siyo NAIBU ni KAIMU
   
 18. S

  Shaabukda Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa mkuu wa mkoa wa jirani kukaimu ukuu wa mkoa mwengine inaleta maana gani kwa wakuu wa wilaya katika mkoa husika? Hawana uwezo ama vipi?
   
 19. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  wacha wivu huyu mama ni mchapa kazi kweli, ubunge alikosa kutokana na kushindwa kura za maoni, ambapo hakuwa tayari kuhonga,
  ni katika mama na kiongozi shupavu mwenye maamuzi thabit fuatilia kazi zake , hayumbishwi na mtu, tuache wivu.
  kukosa ubunge sio kigezo cha kutokuwa mweledi, ni kama mashindani tu alie kosa anaweza kuwa bora zaidi ya tulio wakataa, ushahidi upo, tumechagua sio kwa uwezo wa mtu bali kukuomoa mtu .
  hakika mwantum ni mcapa kazi kiliko mwana mke yoyote ambaye amewahi kuwa waziri katika nchi hii...
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Huyu mama ananipa shida kwa jambo moja tu - Kujichubua! Ni aibu kwa kiongozi wa umma kwa yeye kujichubua kiasi hicho. Alikuwa wa kawaida wakati ni mkuu wa shule ya Mwl J.K. Nyerere. Lakini nimemuona week iliyopita kwa kweli nimestuka sana.
   
Loading...