Sudan kusini wamuomba jk kwenda kusimamia mazungumzo ya amani na sudan kaskazin. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sudan kusini wamuomba jk kwenda kusimamia mazungumzo ya amani na sudan kaskazin.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by msambaru, Apr 25, 2012.

 1. m

  msambaru JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Wanajf hapo vp? Rais wa jamhuri ya muungano wa kenya, tz, uganda, somalia na sudan, amepewa mwaliko na ameukubali wa kwenda kufanya upatanisho kati ya sudan kusin na kaskazin. Hivo akitoka malawi anakuja kubadili nguo anasepa na atapitiliza malasiya kuwapa pole kwa tishio la tsunami. Mapema july atakua amerejea msijali.
   
Loading...