SATURDAY, APRIL 28, 2012
Katibu mkuu wa wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah kushoto.na
Mkurugenzi wa ushirikiano na maendeleo wa Africa mashariki wa Ubalozi wa Ujerumani Dr. Ralph
Mohs...
KATIKA MKUTANO MKUU WA CCM
(NEC) MWAKA 1995 MJINI DODOMA,
MAREHEMU MWALIMU JULIUS
KAMBARAGE NYERERE ALISEMA
YAFUATAYO, NAFIKIRI NI MUHIMU
KUYANUKUU TENA MAANA TUKO
KATIKA WAKATI ALIOUONA...
Makosa makubwa kutengua matokeo ya Ubunge kwa ushahidi wa kusikia-Jaji Moses Jaji Moses Mzuna aliyetupilia mbali kesi dhidi ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amesema ni makosa makubwa...
Tumeshafika mahakamani, wafuasi wa vyama mbalimbali vya siasa, wananchi wa Singida, na waandishi wa habari wapo wengi sana katika eneo la mahakama.
Polisi ni wengi sana, ndani na nje ya...
Wapendwa wanajamvi ningependa tujadili mada hii kama inavyosomeka katika kichwa chake. Awali ya yote ni mara nyingi jeshi lapolisi limekuwa na kawaida ya kutangaza mafanikio yake katika kupambana...
Kwa Mtazamo wangu, mawaziri wameonewa. Muhusika mkuu wa matatizo ndiye anapewa majukumu ya kuadibisha wenzake. hapa ndipo sielewi watanzania wanao furahi eti Mkulu msikivu, kama kweli mkulu ni...
Ni kwa kutoa kauli za uchochezi katika mikutano ya hadhara Mwanza na geita. Polisi wanasema alitoa vitisho kwa serikali kwa kuipa serikali siku 3 iwatibu wabunge wa chadema walioshambuliwa na...
WANAJF,
Tafadhali fuata hii link na usikie mwenyewe hoja za Wazanzibar kuhusu MUUNGANO. Hivi hatuoni haja ya kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu hili swala? kwani ni hakika tunakoelekea si salama...
ki ukweli CCM,ipo katika wakati mgumu,kitendo cha kubadilisha baraza la mawaziri,ni dhairi,chama kilichopo madarakani kimeoza,na sasa cule wakati wa ujinga chadema wa shughulikieni ipasavyo msichoke.
Wana jamvi,
katika gazeti la Mtanzania la leo kuna habari inayosema kamati kuu ya CCM inakutana leo saa 4 IKULU kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupokea mapendekezo ya party caucus ya kutaka...
Baada ya Rais Kikwete kuunda upya mfumo wa ukaguzi wa mahesabu ya Serikali na baada ya kulazimisha ukaguzi huo uwe unafanywa kwa haraka zaidi, sio kama ilivyokuwa kwa uongozi wa kabla yake, na...
Ningependa yafuatayo yafanyiwe kazi kwenye katiba mpya
1. Wakati wa kampeni nchi iwe chini ya anayefuata kwa uongozi. Yaani kila mtu awe ni mgombea huru sio huyu anakuwa na ulinzi kama "rais"...
Leo ni siku ya hukumu, ni kesi ya uchaguzi, inatokana na uchaguzi uliofanyika tarehe 31/10/2010, waombaji ni Shabani selema, na Paskali Halu. Walileta mashahidi 24, na vielelezo saba...
Habari zenu wana JF,
Just Mark my words, Hawa jamaa wezi pale Mkwe.re akiwapiga chini kwa Wizi walioufanya,mie ntaenda Mbali zaid kwa kufungua Mashataka Mahakama Kuu hawa Jamaa wavuliwe Ubunge...
Kikwete alihamua kuwapooza Wanaruvuma kwa kumteua Bw. Emmanuel Nchimbi kuwa waziri.
Hii ilimfanya kujisingizia majukumu ya uwaziri na kututenga Wanaruvuma.
Ni mwezi wa pili tuliandamana kupinga...
Tangu kuibuka kwa wimbi la mkaguzi wa mahesabu ya serikali kuanika hadharani uvujaji wa pesa za umma serikalini, hali iliyosababisha wabunge kuivimbishia mishipa serikali wakiongozwa na wabunge wa...
Tume ya Katiba Mpya, yenye Mapungufu Makubwa, yasiyoonekana Makubwa, lakini yenye Kuhatarisha Umoja*wetu:
Mnamo tarehe 6/4/2012, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Jakaya M. Kikwe...