Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Movement for change ya chadema imeingia jimbo la mosh vijijin huku mb wa jimbo hilo crily chami akikabiliwa na ombwe la kujiuzulu katika wizara anayoiwakilisha kiongozi wa kampeni hiyo ambaye pia...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
  • Closed
Watanzania, sio jambo jema la kulishabikia, kundi la uamsho huko Zanzibar linalo hubiri hadharani kuwa Muungano uvunjike!!!! Inawezekana tukasema tuwapuuze, lakini we have to think twice!! It is...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Ili kuondoa ufisadi uliokithiri sasa ni wakati muafaka wizara nyeti kama vile fedha, elimu, maliasili na utalii, ulinzi, tamisemi, kilimo, biashara, maji, nishati na madini, ulinzi, mambo ya...
0 Reactions
74 Replies
5K Views
Zoezi la sensa linalo takiwa kuanza hivi karibu lina harufu ya kifisadi ya kupoteza kodi za watanzania. Naweza kuthubutu kusema hivyo baada ya tafakuri ya kina hasa nikirejea kwenye ukuta wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
1.Wiliam ngeleja 2.George mkuchika 3.Ezekiel Maige 4.steven Wasira 5.Halji mponda 6.crilly chami 7.Omary nundu 8.Mustapha mkulo 9.prof Jumanne Maghembe 10.Mary nagu ziada waweza kuongeza wengine...
1 Reactions
114 Replies
12K Views
Napongeza juhudi za mh zito na wadau wote (wanaharakati) wa ukombozi, hatimae magamba wametangaza nia ya kutii nguvu ya uma baada ya kusukumwa. Wanaharakati hawana budi kuandamana nchi nzima kwa...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Jaji Moses Mzuna aliyetupilia mbali kesi dhidi ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amesema ni makosa makubwa kwa mahakama kutengua matokeo ya uchaguzi kwa ushahidi wa kusikia bila kutoa...
13 Reactions
65 Replies
6K Views
Wana bodi wa jF Ni mwanachama hai na makini , katika chama makini tz.... Naomba mnieleweshe vizuri wajibu wa "5. Kuwa tayali kupambana na namna yoyote ya uonevu, ukandamizaji, udhalilishaji na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watanzania tunataka kuona hao mawaziri wanawajibishwa na siyo kuamishiwa sector zingine kama siyo kufilisiwa basi washtakiwe kwani huko wanakopelekwa ndio hawataiba?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba kuuliza. Hii miwaziri magamba iliyofuja fedha za wananchi na wanatakiwa waondoke kisheria wanaweza kufunguliwa mashtaka kwa uhujumu uchumi? Kama ni hivyo. Aomba tujipanga ili wote...
0 Reactions
5 Replies
933 Views
Nawapa pongezi viongoz shupavu ktk bunge letu walio simama kunyoosha kidole kwa serikali, Mungu azidi kuwabariki na kuwa maisha Marefu sana. Mungu anampango mzito na Taifa hili nahil ni lazima...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna tetesi kuwa JK kama akialikwa kwenye sherehe za Mei Mosi Tanga anaweza akatoa tathimin ya baraza lake la mawaziri ambaro bado liko garage baada ya mawaziri wake kutafuna nchi vya kutosha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabodi. Chadema imefanya mkutano wake jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilimjadili John Shibuda kutokana na msimamo wake wa kuunga mkono posho. Ofisa habari wa Chadema, Tumaini...
1 Reactions
88 Replies
9K Views
mawaziri watakaojiuzuru wanatakiwa kuvuliwa ubunge kwa wizi na ubadhirifu wa pesa za umma na kufikishwa mahakamani, la sivyo wezi wote walioko magerezani waachiwe, la sivyo wananchi waingie...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba ile kazi ya kubeba karai la maji, sabuni na taulo ili mtawala wetu Jakaya Pilato aendelee kunawa mikono na kukwepa lawama na kuacha kutimiza wajibu wake wa kufukuza watu kazi, kukaripia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Patricia Kimelemeta CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimesema kuwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hakiwezi kurudisha jimbo la Arusha Mjini kutokana na kauli zilizokuwa...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
jk anafanya kitendo ambacho amelazimishwa kukifanya na siyo kwa hiyari kitendo chake cha kuvunja baraza la mawaziri ni cha lazima kulikuwa hakuna namna yeyote kama kifo hakuna namna ya kukwepa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Makosa makubwa kutengua matokeo ya Ubunge kwa ushahidi wa kusikia-Jaji Moses Jaji Moses Mzuna aliyetupilia mbali kesi dhidi ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amesema ni makosa makubwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukweli baraza lina vunjwa sawa bt kikwete ndiye amevunjwa yaani hawajibiki ipasavyo hawezi kuchagua watu safi ,na huenda wengi wa hao mawaziri hutumwa na mzee wafanye hivyo haiingii akilini waziri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Video- UBAYA WA MUUNGANO – UAMSHO ‘ALABAMA’Written by Nahisi kichefuchefu nikikumbuka muungano // 27/04/2012 // Habari, Vidio // 3 Comments www.mzalendo.net Related Posts
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom