Mh. Rais Jakaya M Kikwet: yafikirie kwa umakini zaidi maneno haya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Rais Jakaya M Kikwet: yafikirie kwa umakini zaidi maneno haya.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, Apr 28, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  KATIKA MKUTANO MKUU WA CCM
  (NEC) MWAKA 1995 MJINI DODOMA,
  MAREHEMU MWALIMU JULIUS
  KAMBARAGE NYERERE ALISEMA
  YAFUATAYO, NAFIKIRI NI MUHIMU
  KUYANUKUU TENA MAANA TUKO
  KATIKA WAKATI ALIOUONA MWAKA
  HUO (BABU YETU ALIKUWA
  ANAONA MBALI SANA)
  "Tupeni mgombea ambaye
  atakidhi matarajio ya watanzania.
  Watanzania wanataka mabadiliko,
  wasipoyaona ndani ya CCM
  watayatafuta nje ya CCM...Tunataka
  mtuteulie mtu ambaye
  anatambuwa yafuatayo:
  1. Watanzania wamechoka na
  rushwa
  2. Nchi yetu ni maskini (wakulima
  na wafanyakazi wote ni maskini),
  nchi hii haijawa ya matajiri,
  chama hiki hakijawa cha matajiri
  tunataka tuendelee kushughulika
  na umaskini wa watu wetu
  3. Watu wameanza kuzungumzia
  udini, hiki kitu kilikuwa hakipo
  katika akili yetu...dini inatuhusu
  nini sisi? Tunataka mtuchagulie
  mgombea ambaye atatusaidia
  kuondoa mawazo haya ya
  kipambavu katika nchi yetu
  4. Watanzania wanaanza
  kuulizana makabila siku hizi,
  mnataka kutambika? hiyo ndio
  faida iliyopo katika makabila!
  kuna faida gani nyingine ya
  makabila? Tanzania ya leo
  inazungumza kabila? Wazungu
  wanaungana kuwa taifa
  moja....nyinyi waswahili vinchi
  vidogo vidogo hivi vya watu 27
  milioni mnazungumza makabila?
  Tunataka mtuchagulie mtu
  ambaye anajuwa huko ni
  upumbavu na ni hatari, hatuwezi
  kuzungumza lugha ya ukabila!
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Umenena muungwana! Lakini mbegu hiyo itaangukia kwenye mwamba au kwenye miiba. Usitawi/uoto wake utakuwa wa mashaka kama siyo kutostawi/kutoota kabisa
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,024
  Trophy Points: 280
  Mambo magumu mtoto wa kikwere hayawezi.
   
 4. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Kwetu chalinze alizaliwa mtoto bila kichwa, tukampeleka china akawekewa 'NAZI' na sasa ni Rais!!
   
 5. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wewe, huyo Mkwerrre anazo hotuba kibao pale pale Magogoni, tatizo IQ yake ni almost zero. Yeye anachowaza ni ngono tu, huo muda wa kutafakari hizo hotuba atautoa wapi? Ndio maana hana hata maamuzi, yeye yupo kutabasamu, kungoneka na akichoka anapaa kwenda majuu kubembea! Chezea Mkwerrre wewe?
   
 6. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jk hayawezi.
   
 7. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mtoto akinyea mkono utaukata?!!!acheni mawazo ya ndumu
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Unampigia mbuzi gitaa!
   
Loading...