Mnaonaje Baraza hili jipya la Mawaziri linalotarajiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaonaje Baraza hili jipya la Mawaziri linalotarajiwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nice 2, Apr 27, 2012.

 1. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana jamvi,

  katika gazeti la Mtanzania la leo kuna habari inayosema kamati kuu ya CCM inakutana leo saa 4 IKULU kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupokea mapendekezo ya party caucus ya kutaka mawaziri 8 kujiuzulu.

  Inasemekana kwamba CCM inafanya haraka kubadili BLM ili kuipokonya CHADEMA ajenda yake ya OPERESHENI UWAJIBIKAJI.

  Sehemu iliyonivutia katika habari hii ni pale chanzo hicho kilichotaja majina ya mawaziri wanaotarajiwa kuchukua nafasi zitazoachwa wazi kuwa ni:

  -GODFREY ZAMBI
  -ABDALLAH KIGODA
  -KHAMIS KIGWANGALLA
  -FAUSTINE NDUGULILE
  -CHARLES TIZEBA
  -JANUARY MAKAMBA
  -STEPHEN MASELE

  Wana jamvi, mnawaonaje mawaziri wetu hawa wapya watarajiwa?
   
 2. s

  sawabho JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Nani ana uhakika kuwa ndio watakaoteuliwa ?
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Sijamwona hata mmoja wa maana hapo. Yaani hadi Kingwagallah? I see! Kati ya watu ambao nadhani akili yao haipo sawasawa ni pamoja na huyo. Labda Godfrey Zambi, lakini Makamba ni mnafiki. Sidhani kama anaseriousness yoyote. Kiujumla sijamwona waziri mtendaji kati ya hao.
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  duuh ngoja tusubiri tuone. Mbeleko lazima ifanye kazi. Huyo february maropes si aliwahi kutajwa kuwa ni mfuasi wa Rosti Tamu alivyokuwa kwenye nyumba ya Tausi?
   
 5. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  jiko moja, mpishi ni yule yule! na wafanyakazi ni walewale! unategemea nini! hapa alimradi liende tuu not otherwise..
   
 6. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kama ilo lipo na majina haya tajwa basi,kuna moto kuwawakia CCM kwa baadhi ya wateuliwa na kuibua mzigo mwingine wa aibu kubwa kwa kuwa kwa sasa Serikali inaitaji watu wasafi kuitetea kwenye jamii.

  1: GODFREY ZAMBI-
  kama atapata sawa kidogo madhaifu machache

  2: ABDALLAH KIGODA-
  Huyu ni muhimu kuja kuimarisha na kustwaisha uchumi tunavyokwenda ukingoni

  3: KHAMIS KIGWANGALLA-
  Anafaa ila anaitaji kuangaliwa kwa makini

  4: FAUSTINE NDUGULILE-
  Swadakta pasi na shaka ni aina ya viongozi ambao walitakiwa kujengwa toka anaingia madrakani

  5: CHARLES TIZEBA-
  anastahiki Pia

  6: JANUARY MAKAMBA-
  Aibu nyingine ya mwaka na hapa ndipo homa itapoanza kupanda na kushuka.Hakika kwa jinsi alivyoishupalia wizara ya madini,akipewa wizara hiyo na kwa sababu ambazo ziko ndani ya box,basi wamekaribisha kelele nyingine ya umma zaidi hata ya huyo aliyekuwepo.Na hakika ataingia asubuhi ofisi leo baada ya masaa matatu kinanuka upya.

  Kwa watu wenye kutumia busara ingekuwa si vyema basi kumpa mtu madaraka ambae ananegative attention na vyombo vya habari tena hasa Jamii Forum ambayo kwa sasa ni moja ya source and centre of information kwa baadhi ya vyombo vya habari.Hakika wateuzi wake kama wanataka kumpumzika kelele za vyombo vya habari ambavyo vinaibua na kutibua nyongo ya chuki ya umma dhidi ya Serikali basi ni kumuacha huyu jamaa nje ya baraza la mawaziri.Lakini kitendo cha kumweka ndani eti kumpunguza makali na kumfanya asiwe active kushupalia mambo kwa tiketi ya kunuifaika yeye na si Taifa itakula kwa Serikali zaidi ya ambavyo ingemuacha nje ya Serikali.

  7: STEPHEN MASELE

  Anastahiki ukiondoa soo la jimboni kwake,ila anitaji uangalifu wa karibu.
   
 7. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Wote hao hawana uwezo wa kutatua kero za ajira kwa vijana.

  Sijawahi hata mara moja kuwasikia wakisema na kulia kuwa vijana wengi hawana kazi.waziri wa fedha sasa inabidi awe mzungu au myahudi. Maana tumejalibu kuwatumia wazarendo kwa miaka 50 tangia tupate uhuru, bahati mbaya wote hawakuweza hata kufanya mazuri katika uchumi wetu.

  Tuwaige Africa kusini au marekani katika kuhakikisha waziri wa fedha anakuwa mtu mjua uchumi kuliko kuwapa watu wanajua kuimarisha chama na kuomba pesa za matembezi ya mshikamano. Tazama tulipompatia ubunge Marehemu Dereck Bryson. Ona alivyoijenga Kinondoni wilaya. Sinza, Mwenge kijijini, Kijitonyama, Mikocheni, Sinza na ada estate. kuna shule za msingi, zahanati na mitaa bora ya kuishi watu na karibia kuna nyumba ambazo zipo sehemu zilipimwa viwanja.

  Sasa jiulize, nani kama Bryson? I can see none!
   
 8. M

  Moony JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mhhhhh, kama mjanja achague wenye kelele wazibe midomo kama Filikunjombe na Zambi
   
 9. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33


  kwenye blue hapo ntaanza kuamini ile email ya dada yake kwenda kwa kibosile wa barrick
   
 10. M

  Moony JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kigoda hana jipya,ndo aloua viwanda,yeye ndo alokua akipgia upatu UBINAFSISHAJI,usio na tija!
   
 12. Jallen

  Jallen JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Labda kwa kiasi fulani ni vijana la zaidi hakuna
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,528
  Trophy Points: 280
  si aweke na wapinzani ajaribu,
  au ni mpaka wafunge ndoa.
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  They say its better the devil you know....kwa kiswahili ni bora adui umjuaye:rolleyez::eek:hwell:
   
 15. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Yani Kigoda? Liuza viwanda na mashirika ya umma kwa wawekezaji hewa (wasio na sifa). Tulimsikia Mkapa alipokua anaongea kwenye kigoda cha mwalimu Nyerere! Kwamba watuambia mashirika yaliyobinafsisha yale yameleta tija gani kwa watz! sasa huyu huyu apewe uwaziri? Tazito letu tena hapa ni mfumo mbaya wa kupata mawaziri. Sasa angalia hiyo oradha iliyotolewa inamaanisha CCM watu wasafi wameisha. Inabidi huu mfumo wa kuteua wabunge kuwa mawaziri tuukate kwenye katiba mpya, ili mawaziri watoke sehemu nyingine kabisa, wawe watu wenye utaalamu na mambo ya wizara husika, siyo wanasiasa wanadanganywa kila siku na wafanyakazi wao kwa sababu hawaelewi chochote.
   
 16. Masaningala

  Masaningala JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 539
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Mabadiliko ya baraza la mawaziri bila kubadili Waziri Mkuu ni sawa na bure. Waziri Mkuu wa sasa ni kiongozi asiye na "authority" yoyote. Hata mawaziri wanajua hilo.
   
 17. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  tatizo ni baba Mwana asha!
   
 18. H

  Hurricane Member

  #18
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwangu mimi hapo naona at least Kigwangala pekeyake. Wengine wote hamuna kitu...
   
 19. c

  chante Senior Member

  #19
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kaka iweke ile email kama unayo tuisome hapa....
   
 20. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Una maana mawaziri wasiofaa ni wanane tu. Taja kwanza orodha ya watakaoondoka na nani anaingia badala ya nani.
   
Loading...