Kwa hili tumekosea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili tumekosea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtz-halisi, Apr 28, 2012.

 1. Mtz-halisi

  Mtz-halisi Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa Mtazamo wangu, mawaziri wameonewa. Muhusika mkuu wa matatizo ndiye anapewa majukumu ya kuadibisha wenzake. hapa ndipo sielewi watanzania wanao furahi eti Mkulu msikivu, kama kweli mkulu ni msikivu mimi naona angekuwa wakwanza kuchukua maamuzi ya kujiuzuru.
  1. sababu kubwa kuliko zote yeye ndiye mwenyekiti baraza la mawaziri, kwa maana nyingine yeye ndiye msimamizi mkuu, lakini wote hatuoni hilo tumebaki kusifia sifia.
  2. Mkulu amekuwa mzurulaji naona hilo nalo ilibidi ajitafakali.
  Ngoja tuone hao wanaokuja tuone kama wataweza fanya yaliyowashinda wenzao.
   
 2. JingalaFalsafa

  JingalaFalsafa JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Mbwa mwizi na mroho mwenye kifaranga kinywani, hawezi kukiacha kwa kumpigia gitaa na kumsihi. Mpige dongo, hata asipotaka kukiacha atatanua mdomo kulia bweeeeee..., na kifaranga kitaanguka tu? Mungu wetu anaita!
   
Loading...