Ccm kuofia 2015,sasa wa vua ngozi,sio gamba tena. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm kuofia 2015,sasa wa vua ngozi,sio gamba tena.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by profesa.n., Apr 28, 2012.

 1. p

  profesa.n. Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 25
  ki ukweli CCM,ipo katika wakati mgumu,kitendo cha kubadilisha baraza la mawaziri,ni dhairi,chama kilichopo madarakani kimeoza,na sasa cule wakati wa ujinga chadema wa shughulikieni ipasavyo msichoke.
   
 2. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Washaanza kushughulikiwa siku nyingi na tunasubiri wawe wapinzani 2015.
   
 3. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama watakuwepo
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Profesa upo sahihi ndugu yangu,hawa jamaa sasa wanakimbia their own shadow.
   
 5. Lavie

  Lavie Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hata wakibadili BLM kama Pinda ataendelea kuwa PM Kazi bure.
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  live...
   
 7. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SI walete cabinet ya kukodi toka kwa wazungu?mbona mkapa alileta pale TANESCO na ndio walioleta luku,coz kuwaachia watu makini watawale hawataki,kuepuka aibu nashauri tukodishe balaza toka nje na Rais wa kukodi pia angalao kwa miaka miwili,uchaguzi ukikaribia wamalizie kufungasha vyao magamba,tunabadilisha mavazi wakati mvaaji ni yule yule!
   
 8. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Ndani ya CCM na mwenye kiti wao Kikwete hata ukimleta malaika hakuna kitu labda warudishe Azimio la Arusha lina weza kuwasaidia vinginevyo CCM mwaka 2015 watakuwa wapinzani.....
   
Loading...