Mapendekezo yangu kwenye katiba mpya.

Makwarukwaru

Member
Mar 10, 2012
66
25
Ningependa yafuatayo yafanyiwe kazi kwenye katiba mpya
1. Wakati wa kampeni nchi iwe chini ya anayefuata kwa uongozi. Yaani kila mtu awe ni mgombea huru sio huyu anakuwa na ulinzi kama "rais" wakati anagombea. Pia kuna ahadi nyingine zinatolewa na kutimizwa upesi kwakuwa aliesema ni "rais" anaegombea urais.
2. Kama itawezekana mawaziri waajiriwe kwa mkataba,wakiona masharti ni magumu waache. Wakienda kinyume na makubaliano "kibano".
Kwaleo ni haya tu nawakilisha hoja.
 
Back
Top Bottom