Ujerumani Yaipa Tanzania Euro Milioni 176 Kwaajili Ya Maendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujerumani Yaipa Tanzania Euro Milioni 176 Kwaajili Ya Maendeleo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Apr 28, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [h=2]SATURDAY, APRIL 28, 2012[/h][h=3][/h]


  [​IMG]

  Katibu mkuu wa wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah kushoto.na
  Mkurugenzi wa ushirikiano na maendeleo wa Africa mashariki wa Ubalozi wa Ujerumani Dr. Ralph
  Mohs kulia.wakisaini msaada wa EURO 176 million kutoka serikali ya
  ujerumani kwa ajili ya kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo hapa
  nchini Tanzania.ulofanyika jana katika ukumbi mikutano wa wizara hiyo
  jijini Dar es salaam.

  [​IMG]
  Katibu mkuu wa Wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah kushoto.na
  Mkurugenzi wa ushirikiano na maendeleo wa Africa mashariki wa Jumuiya ya Ulaya Dr Ralph
  Mohs kulia.wakikabidhiana nyaraka za mkataba wa msaada huo.

  [​IMG]
  Baadhi ya waandishi wa habari walioudhuria katika utiaji saini wa mkataba huo   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Waandishi wa habari huwa wanahudhuria, wanauliza Maswali gani?

  Wanauliza maswali ya kiunafiki au magumu ya kujua hizo pesa zinakwenda kwenye Maendeleo au kwenye mifuko ya

  Viongozi Mafisadi?
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Donor Syndrome......aluta continuo!mkiambiwa cameroon oh!Hivi mnajua kuwa hizi pesa hawa jamaa wanazotupa misaada babu na baba zao walitoil kuzitengeneza?sisi viongozi wetu wanakula mbegu na wanashikana mikono kwenye sahani na watoto zao!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa mimi ndiyo huyo katibu mkuu ningeona aibu kutia saini hizo nyaraka za huo msaada!
   
 5. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ulaji huo umeletwa... Kina 'shubash patel' jiandaeni...
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  ni msaada au mkataba?

  nini tofauti?

  naomba kueleweshwa.
   
 7. mayuni

  mayuni JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 406
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ulaji uwo wakina nonino
   
 8. S

  SunStrong Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ooh what a greate oportunity!

  Kwa wale ambao bado hawajanunua majumba ya kifari nafasi ndo hiyo,
  wajerumani wameshawawezesha ni nafasi yenu kutuchakachua wananchi.
   
 9. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Wow,
  Great nyuuuzi.
  Ni ushahidi mwingine kuwa wafadhili wanaridhishwa na utendaji wa serikali iliyopo madarakani.
   
 10. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 639
  Trophy Points: 280
  Yaani unaamini unaweza kupewa a quarter bil $ just cos they like you?
  Kuna kitu hapo!!
   
 11. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kumbe CCM nayo hupokea Misaada kutoka serikali ya chama cha CDU?
   
 12. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  Msaada wa Mkpo Nielewavyo mimi...

  Na Mikopo hii ya Maendeleo hugeuka Deni liitwalo deni la Nje na Wahisani huwa Wanazidai nchi husika pale wanapoona hakuna maendeleo hakuna au yametekelezwa kiubabaishaji ...
  we siku za mbele utajasikia deni la taifa la nje limeongezeka!... huu ni upuuzi mkubwa wanaotufanyia viongozi wetu ops..sorry ni Watawala wetu pichani watiao Sahihi
   
 13. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hapa tuwe macho isijeikawa fedha ya maendeleo mifukoni..! Sie Wtz bana........!!!???????
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  just curious! Hivi Zenj wanapewa kiasi gani?
   
Loading...