Wazanzibar wakiongelea muungano wa tz. Tafadhali sikiliza na kujionea mwenyewe hisia zao

JATELO1

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,230
301
WANAJF,
Tafadhali fuata hii link na usikie mwenyewe hoja za Wazanzibar kuhusu MUUNGANO. Hivi hatuoni haja ya kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu hili swala? kwani ni hakika tunakoelekea si salama kabisa. Hatuwezi kukaa kimya katika hali ya sasa bila kuongelea suala la Muungano, kwasababu tu eti tunawaenzi Baba wa Taifa na Mzee Karume. Hakika hatuwezi kuwa salama huko mbeleni kwa viongozi wetu kujifanya kwamba wao hawalioni tatizo lililopo kuhusu muungano.

Fuata hii link na usikilize kwa makini, then utapata jibu ni kwanini nasema kuna haja ya kuangalia upya suala la Muungano.


Video~ Wazanzibari wakionesha hisia zao ‘kongamano kidutani 2 | Mzalendo.net

Nawasilisha.
TELO.
 
Back
Top Bottom