naomba kufahamu muundo wa tume huru ya uchaguzi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba kufahamu muundo wa tume huru ya uchaguzi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Magnificent, Nov 17, 2011.

 1. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  naomba kufahamishwa hili suala wadau.
   
 2. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  nami nimeshindwa kupata jibu, mwenye kujua tafadhali atupe elimu.
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Najaribu kuainisha nnavojua.Mkiti wa 2me anachaguliwa na wabunge baada ya rais kupendekeza jina,wabunge wanaweza kukataa kama jina pendekezwa lina magumshi..refer Uteuzi wa kibaki Ktk AG wa kenya.WASIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO NA KATA WATAAJIRIWA NA TUME..Ikiwa hivi suala la uchakachuaji magamba watakwama manake kuwa2mia maafisa watendaji kata na wakurugenzi huwa huzalisha matisho kutoka gambani kuwa ajira zao zitaota nyasi_ HAWA WA TUME HURU HAWATISHIKI COZ WANAAJHRIWA NA TUME NA WANAFANYA KAZI YA TUME..ni ajira tofauti na tume ya magamba ya sasa ya utumishi wa kuazima na kazi kufanyika kwa matakwa ya alokupa deal...
   
Loading...