Wana jf hukumu ya kesi ya makongoro ni tarehe 2/ 5. Na kuna dalili za kupigwa chini. Je jk atamrudisha au atakuwa amesoma alama za nyakati hivyo hatamrudisha ili nkuepuka fedheha? Nawasilisha
Wakati joto la shinikizo za wabunge kutaka kuwajibishwa kwa mawazili wezi na wazembe, Omar Nundu, waziri wa usafirishaji na uchukuzi alijitokeza na kumtuhum live naibu wake, Athumani Mvutakamba...
Cha kushangaza na kusikitisha ni pale tunapotegemea vyama vya upinzani na mawaziri vivuli kuwa ma "watch dog" wanaposhindwa kufanya kazi zao ipasavyo.
Hakuna hata mmoja aliyeleta ripoti yoyote...
Wabunge wetu wengi hasa wa ccm wamepata ubunge baada ya kutoa rushwa(hiki ni kigezo cha kutokuwa muadilifu).Kwa mujibu wa katiba ya JMT(sikumbuki kifungu,wanasheria mtasaidia),waziri lazima awe...
Wana bodi kuna Kikao cha CC ya CHADEMA Leo jijini Dar es salaam. Nani anayejua kinachojiri katika Kikao hicho atujuze? Tumesikia rais kuvunja baraza la
Mawaziri baada ya kushauriwa na CC ya CCM...
Itakuwa jambo la busara na la hekima kama katiba mpya itaweka misumeno mikali ya kuwachinja mafisadi wote na wahujumu wa nchi hii wanaotafuna kodi za watanzania katika viti vyao vya...
Kufuatia kile kinachoelezwa kwamba CCM imeridhia mpango wa rais wa kulirekebisha baraza lake, kuna kila dalili kwamba iwapo atalivunja basi ni wazi lazima ataitisha bunge la dharura. Hata hivyo...
Katika kipindi hiki ambacho tumepoteza imani na Serikali chini wa waziri mkuu Pinda, Ni vyema JK akamteua Samwel Sita awe waziri mkuu. Hii itamsaidia angalau kumaliza muda wake wa urais kwa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. TAARIFA KWA VYA HABARI
"Mficha maradhi kifo humfichuwa "
Ni muda mrefu nimeitafakari dhamira yangu na sasa ni wakati muafaka kufikia maamuzi magumu...
Nimejaribu kuangalia kwa makini mtiririko wa utendaji wa Raisi wetu.. nashawishika kusema Raisi amesahau kabisa nini watanzania walitarajia kutoka kwake. Kwanza:
1. Huduma nzuri za afya
2.Huduma...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 132 imeweka msingi wa kuundwa kwa Sekretariati ya Maadili ya Viongozi wa Umma na kwamba Ibara ya 70 kuwasilisha taarifa ya mali na kifungu cha 71...
..hili suala tusipokuwa makini linaweza kusababisha uvunjifu wa amani.
..nadhani chama tawala wakubali tu kwamba muungano hauwezekani kwa kizazi hiki.
..hebu angalieni[kuanzia dakika 13.50]...
Posted on April 27, 2012 by zanzibaryetu
wazanzibari wakiwa katika mhadhara unaoandaliwa na taasisi za dini kuzungumzia katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Na Jabir Idrissa
MUUNGANO wa...
NANI AWEPO NANI ASIWEPO NA KWA NINI?
Hii ilikuwa baada ya Lowasa kuachia ngazi...chanzo african magic
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora - Mathias Chikawe
Waziri wa Nchi, Oisi ya...
I belive Tanzania itAkuwa kama Nyerere alivyokuwa anataka.Ole wao wanaotaka kuvyunja MUUNGANO kidumu chama cha mapinduzi,zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM.
Mwenyezi Mungu katika uumbaji wake aliumba viumbe mbalimbali miongoni mwao wakiwapo wanyama,ndege wa angani na binadamu.Katika uumbaji wa binadamu alimpa akili za kujua mwema na mabaya na akili ya...
jamani nimepenyezewa habari hii toka wilaya ya mwanga kilimanjaro kuwa pamoja na mh. prof.maghembe kutakiwa ajiuzuru kwa ubadilifu wa pesa katika wizara yake, na kuwalinda watendaji wabovu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.