Kesi za uchaguzi siyo za mchezo mchezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi za uchaguzi siyo za mchezo mchezo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kalistibukhay, Apr 28, 2012.

 1. k

  kalistibukhay Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=2]Makosa makubwa kutengua matokeo ya Ubunge kwa ushahidi wa kusikia-Jaji Moses[/h] Jaji Moses Mzuna aliyetupilia mbali kesi dhidi ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amesema ni makosa makubwa kwa mahakama kutengua matokeo ya uchaguzi kwa ushahidi wa kusikia.Jaji huyo amesema ili kutengua matokeo ni lazima kuwe na ushahidi ulio wazi tena wa vielelezo visivyotia shaka.Jaji huyo ameendelea kusema ni kosa kubwa kumuondoa kiongozi wa wananchi kwa ushahidi wa hovyo hovyo.
  Jaji huyo pia amesema wanaofungua kesi za uchaguzi wanapaswa kujua kesi za kupinga matokeo si za mchezo mchezo.Amesema kwa njia hii ndipo mahakama zetu zitakapoheshimika.
   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  mkuu huu uzi upo hapa toka asubuhi!!
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  mods wake up!
   
Loading...